الإمام ناصر محمد اليماني
10 - 04 - 1434 هـ
20 - 02 - 2013 مـ
03:39 صـباحا
ًـــــــــــــــــــــ
Na Jibu liko Kwa Amabae Ano ilimu ya Kitabu kwenye Nukulu Inao Fwata Inafatana Na Tarehe
Ya bayana Na Kifurushu chake asili

Na ewe dakatari Ahmad Omaro, Hakika wewe unamsifu Allah kwamba Yeye Ameghadhibika Kuanzia Kabla Hajaumaba Viumbe, Na alafu nakwmabia wewe kwa haki gani aghadhibike juu ya waja wake kabala hajawaumba Subhanahu Ametukuka!? Na Hata Kama Ajaua Kwa Yale Watakao yatenda lakini haitakiwi Kwake Kwamba Aghadhibike kabla hawajatenda yale yatakao mghadhibisha na asmamishe hoja juu yao kwa haki bila ya dhulma; Bali Anawatumia kwao Mjumbe Wake Kabala haijawafikia Ghadhabu Ya Mola Mlezi wao, Na Wala Haitakiwe Kwa Allah Kwamba Aghadhibike na wao hawajuwi yale alio haramisha Allah Juu Yao; Bali Anaghadhibika Allah Juu Yao Baada Anapo Bainisha Kwao Mipaka Ya Allah, Basi Atakae Kuvuka Mipaka Ya Allah kwakutaka Basi amedhilumh nafsi yake na Ameghadhibika Allah juu yake mpaka atubu kwa Mola Mlezi Wake Kutubu, Alafu Anaridhika Juu yake Na Waadi Wake Ni Haki Na Yeye Ni Arhama Arahimin
Kwahivo, Allah Haghadhibiki juu ya mja wake Ispokua ba’ada kuwabainishia wao mipaka Yake kwa njia ya Mitume Wa Allah ju yao ili isiwe hoja ju ya Mola Wao Mlezi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﺭﺳﻼ ﻣﺒﺸﺮﻳﻦ ﻭﻣﻨﺬﺭﻳﻦ ﻟﺌﻼ ﻳﻜﻮﻥ ﻟﻠﻨﺎﺱ ﻋﻠﻰ اﻟﻠﻪ ﺣﺠﺔ ﺑﻌﺪ اﻟﺮﺳﻞ ﻭﻛﺎﻥ اﻟﻠﻪ ﻋﺰﻳﺰا ﺣﻜﻴﻤﺎ}
ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ
[ اﻟﻨﺴﺎء:165]
Allah Ta3ala Asema:
{ Mitume hawo Ni Wabashiri Na Waonyaji Ili isiwe kwa watu Hoja Juu Ya Allah baada ya kuwajia Mitume Na Hakika Allah Ni Mwenye Nguvu Mwenye Hikma } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:165].
Mpaka pindi anapo watumia Allah kwao Mitume Wao na wakawalingania kwa kumwabudu Allah pekeyake Hana Mshirika basi wakakata ila wabudu yale walio yakuta kwa ma babazao walionayo basi alafu inapatikana juu yao kwa Nafsi Ya Allah Ghadhabu kwa sababu ya Shirki yao juu ya Allah. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{ﻗﺎﻝ ﻗﺪ ﻭﻗﻊ ﻋﻠﻴﻜﻢ ﻣﻦ ﺭ ﺑﻜﻢ ﺭ ﺟﺲ ﻭﻏﻀﺐ ﺃﺗﺠﺎﺩﻟﻮﻧﻨﻲ ﻓﻲ ﺃﺳﻤﺎء ﺳﻤﻴﺘﻤﻮﻫﺎ ﺃﻧﺘﻢ ﻭﺁﺑﺎﺅﻛﻢ ﻣﺎ ﻧﺰﻝ اﻟﻠﻪ ﺑﻬﺎ ﻣﻦ ﺳﻠﻄﺎﻥ ﻓﺎﻧﺘﻈﺮ ﻭا ﺇﻧﻲ ﻣﻌﻜﻢ ﻣﻦ اﻟﻤﻨﺘﻈﺮﻳﻦ {(71)} ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ [ اﻷﻋﺮاﻑ] .

Allah Ta3ala Asema:
{ Mnanijadili kwa majina mumeyaweka nyinyi na baba zenu hajateremsha Allah nayo utawala basi ngojeni na mimi nagujea na nyinyi(71)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].

Na Ama Ridhwan Inakuja kwa Nafsi Ya Allah Juu Ya Wale Wamefwata Mlinganizi Wa Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi Wao Wakati Wa Kufwata. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﻭاﻟﺴﺎﺑﻘﻮﻥ اﻷﻭﻟﻮﻥ ﻣﻦ اﻟﻤﻬﺎﺟﺮﻳﻦ ﻭاﻷﻧﺼﺎﺭ ﻭاﻟﺬﻳﻦ اﺗﺒﻌﻮﻫﻢ ﺑﺈﺣﺴﺎﻥ ﺭﺿﻲ اﻟﻠﻪ ﻋﻨﻬﻢ ﻭﺭﺿﻮا ﻋﻨﻪ ﻭﺃﻋﺪ ﻟﻬﻢ ﺟﻨﺎﺕ ﺗﺠﺮﻱ ﺗﺤﺘﻬﺎ اﻷﻧﻬﺎﺭ ﺧﺎﻟﺪﻳﻦ ﻓﻴﻬﺎ ﺃﺑﺪا ﺫﻟﻚ اﻟﻔﻮﺯ اﻟﻌﻈﻴﻢ}
ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ [ اﻟﺘﻮﺑﺔ:100]
Allah Ta3ala Asema:
{ Na Walio Tangulia Wakwanza Katika Muhajirina Na Ma Ansar Na Wale walio wafwata kwa ihsan Ameridhika Allah Juu Yao na wao wameridhika Na Yeye Na Amewandalia Wao ma Bustani Yapita chini yake mito milele ndani yake kabisa huo ndio ushindi mkuu} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba:100].
Na Atakae geuka na ahdi yake basi amestabdilisha Ridhwan ya Allah kwa Ghadhabu Yake Na Maregeo Yake Ni Jahanam Na Mweisho Muovu.

Na Ewe Ahmad Omaro, Hakika Sifa Za Allah Za Azali Ni Yeye Al’Ahad Moja Hajaza Wala Hajazaliwa Wala Hakua na yeye Moja Yoyote Kwkaua Yeye Mwenye Nguvu Zilio Pana, Na Katiaka Sifa Zake Za Kiazali Katika Nafsi Yake Kwamba Yeye ni Al’Karim Al’Rahim, Na Katika Majina Yaa Sifa Zake Yale Alio Yafanaya Allah yanao Julisha Kwa Uhakika Wa Yote Majina Ya Dhati Yake Na Majina Ya Sifa Yake Eee Hakika Nalo Ni Jina Lake ( Al’A3dham) ( Kuu), Nalo Vile Vile Kadhalika Ni Katika Majina Ya Sifa Za Mola Mlezi Ambao Ya Azali Lakini Ni Yajulisha kwa Majina Yote Ya Dhati Na Majina Ya Sifa Kwakua Yeye Ndie Allah Al3aliyu Al’3adhim Katika Ukubwa Wa Dhati Yake Subhanahu Ametukuka, Kwakua Allah Kwenye Dhati Yake Ni Mkubwa Kuliko Kila Kitu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﻭﻫﻮ اﻟﻌﻠﻲ اﻟﻜﺒﻴﺮ} ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ [ ﺳﺒﺄ: 23]
Allah Ta3ala Asema:
{ Na Yeye Ndio Aliye Juu Mkubwa } Sadaqa Allah Al3adhim[Sabaa:23],
Na hivo hivo Ni Mkuu Katika Rahama Yake Na Mkuu Katika Ukarimu Wake Na Mkuu Katika Afu’yake Na Ni Mkuu Katika Kudra Yake Na Ni Mkuu Katika Zote Sifa Zake, Na Kila Sifa Zake Ni Kuu Hakika Hi Ndio Haki Ya Yakini Basi Msabeh Kwajina La Mola Mlezi Wako Kuu.

Na Ama Sifa Ya Ridhwan Katika Nafsi Yake Basi Sifa Hi Ameifanya Allah Kupatikana kwake Kwenye Nafsi Yake Kwa Sababu Ya Waja Wake ili Wsiwe Na Hoja Juu Ya Mola Mlezi Wao, Basi Miongoni Mwao Mwenye Kufanya Bidi ili ipatikane Kutimu Ridhwan Ya Mola Mlezi Wake Ju Yake. Kusadikisha kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﻭﻋﺠﻠﺖ ﺇﻟﻴﻚ ﺭﺏ ﻟﺘﺮﺿﻰ} ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ [ ﻃﻪ:84]
Allaha Ta3ala Asema
{ Na Nimefanya Haraka Kuja Kwako Ewe Mola Mlezi wangu ili Uridhike} Sadaqa Allah Al3adhim [Twaha:84].

Na Miongoni Mwao Walio Chukia Ridhwan Ya Allah Na Wakafwata Yale Yanayo Mchukiza Ndio Akaghadhibika Allah Ju Yao Na Akawandalia Adhabu Kuu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﺫﻟﻚ ﺑﺄﻧﻬﻢ اﺗﺒﻌﻮا ﻣﺎ ﺃﺳﺨﻂ اﻟﻠﻪ ﻭﻛﺮﻫﻮا ﺭﺿﻮاﻧﻪ ﻓﺄﺣﺒﻂ ﺃﻋﻤﺎﻟﻬﻢ}
ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ [ ﻣﺤﻤﺪ:28]

Allah Taala Asema:
{ Hivo ni kwajili wao wamefwata yale yanao Mchukiza Allah Na Wakachukia Ridhwan Yake Ndio Akaviangusha Vitendo Vao} Sadaqa Allah Al3adhim [ Muhammad:28].

Basi Angalia Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﺫﻟﻚ ﺑﺄﻧﻬﻢ اﺗﺒﻌﻮا ﻣﺎ ﺃﺳﺨﻂ اﻟﻠﻪ ﻭﻛﺮﻫﻮا ﺭﺿﻮاﻧﻪ ﻓﺄﺣﺒﻂ ﺃﻋﻤﺎﻟﻬﻢ}
ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ،
Allah Taala Asema:
{ Hivo ni kwajili wao wamefwata yale yanao Mchukiza Allah Na Wakachukia Ridhwan Yake Ndio Akaviangusha Vitendo Vao} Sadaqa Allah Al3adhim,
Basi Khiyar Ni Yao baada asha’wabainishia Allah yale yanayo Mridhisha Nayo kwa waja wake na akawabainishia yale ambayo haridhiki nayo kwa waja wake Na Yanayo Mchukiza Nafsi Yake, Basi Wale walio fwata yale ambao anayapenda Allah Na Yuwaridhika Nayo kwa Wja Wake Basi Anawapenda Allah Na Anaridhika Kwao Na Anawaridhisha Kwa Yale Wanayo yatamani Kutoka Kwa Mola Mlezi wao; Hakika Yeye Ni Mkuu Mkarimu, Na Ama Wale amabao walichukia Ridhwan Ya Allah Na Wakafwata yanayo Mchukiza Anaghadhibika Ju Yao Na Anawandalia Wao Adhabu Kuu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﺫﻟﻚ ﺑﺄﻧﻬﻢ اﺗﺒﻌﻮا ﻣﺎ ﺃﺳﺨﻂ اﻟﻠﻪ ﻭﻛﺮﻫﻮا ﺭﺿﻮاﻧﻪ ﻓﺄﺣﺒﻂ ﺃﻋﻤﺎﻟﻬﻢ}
ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ،
Allah Ta3ala Asema:
{ Hivo ni kwajili wao wamefwata yale yanao Mchukiza Allah Na Wakachukia Ridhwan Yake Ndio Akaviangusha Vitendo Vao} Sadaqa Allah Al3adhim,
Lakini mpendwa wangu Katika kumpenda Allah Dakatri Ahmad Omaro Anatoa Fatwa kwamba Ghadhabu Ya Allah Na Ridhwan Yake Ziko Kwenye Nafsi Ya Allah Kutoka Azali Mwanzo Kabla Hajaumba Allah Viumbe, Lakini Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Natoa Fatwa Kwa Haki kuhusu Uhakika Wa Hali Ya Nafsi Ya Allah Subhanahu Ametukuka kutoka kabla Hajaumba viumbe, Basi Ridhwan Yake Ni Sufuri Na Ghadhabu Yake Ni Sufuri Kwakua Yeye Aghadhibike Juu Ya Nani Na Aridhike Juu Ya Nani Na Yeye Ndiye Mwanzo Wala Hakuna Kabla Yake Kitu ili Aridhike Ju yake Wla Hakuna Kabla Yake Kitu ili Aghadhibike Juu Yake! Lakini hajaumba viumbe bado na hawajatenda bado yale yatakayo Mridhisha au yatakao Mghadhibisha, Basi Vipi Ataghadhibika Juu ya Waja Wake Kabla Hajawaumba Na Kabla Hajasmamisha Hoja Juu Yao Kwa Kutuma Mitume Wa Allah Kwao Mpaka Pindi Wakikanusha Ulinganizi Wa Haki Kutoka Kwa Mola Mlezi wao hapo Ndio ianguke Juu Yao Ghadhabu Katika Nafsi Ya Allah Kwa Haki Bila Ya Dhulma, Alafu Anawa’adhibu Allah Alafu Anahukumu Allah Baina Yao Na Bain Ya Mawali Wake Kwa Haki. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﻗﺎﻝ ﻗﺪ ﻭﻗﻊ ﻋﻠﻴﻜﻢ ﻣﻦ ﺭ ﺑﻜﻢ ﺭﺟﺲ ﻭﻏﻀﺐ ﺃﺗﺠﺎﺩﻟﻮﻧﻨﻲ ﻓﻲ ﺃﺳﻤﺎء ﺳﻤﻴﺘﻤﻮﻫﺎ ﺃﻧﺘﻢ ﻭﺁﺑﺎﺅﻛﻢ ﻣﺎ ﻧﺰﻝ اﻟﻠﻪ ﺑﻬﺎ ﻣﻦ ﺳﻠﻄﺎﻥ ﻓﺎﻧﺘﻈﺮ ﻭا ﺇﻧﻲ ﻣﻌﻜﻢ ﻣﻦ اﻟﻤﻨﺘﻈﺮ ﻳﻦ {(71)} ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ [ اﻷﻋﺮاﻑ] .

Allah Ta3ala Asema:
{Akasema: Bila ya shaka adhabu na ghadhabu zimekwisha kukuangukieni kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Mnabishana nami kwa ajili ya majina tu mliyo yaita nyinyi na baba zenu ambayo kwayo Mwenyezi Mungu hakuteremsha uthibitisho? Basi ngojeni, mimi pia ni pamoja nanyi katika wanao ngoja (71)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].

Na Atakae Ghadhibisha Nafsi Ya Allah Basi Bila Shaka Atapata Adhabu Adhimu Ila Atubu Kwa Mola Mlezi Wake Kabala Kifo Chake Ndio Amghufurie Allah Hakika Mola Mlezi Wangu Kwa Waja Wake Mpole Mwenye Huruma. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ﻭﻳﺤﺬﺭﻛﻢ اﻟﻠﻪ ﻧﻔﺴﻪ ﻭاﻟﻠﻪ ﺭءﻭﻑ ﺑﺎﻟﻌﺒﺎﺩ} ﺻﺪﻕ اﻟﻠﻪ اﻟﻌﻈﻴﻢ [ ﺁﻝ ﻋﻤﺮاﻥ:30]
Allah Ta3ala Asema:
{ Na Mwenyezi Mungu anakuhadharisheni na Nafsi Yake. Na Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimran:30].

Yani Anawahadharisha Kughadibu Nafsi Ya Allah Kwakua Ndio Lengo La Kumbwa Kwao Katika Nafsi Ya Allah, Lakini Hakuna Ghadhabu Ndani Ya Nafsi Ya Allah Juu Yao kabla Hajasmamisha Hoja Kwao Kwa Kutuma Mitume Wake, Kwajili Ya Hivo Anatuma Kwao Mitume Wake ili Wabainishe Kwao Yale Yanao Ghadhibisha Nafsi Ya Allah Na Yale Yanao Mridhisha Nafsi Yake Subhamahu Ametukuka, Kwajili Ya Hivo Ana’tahadharisha Waja Wake kwamba Wasifwate Yale Yanao Mghadhibi Nafsi Yake Basi Awadhibu Adhabu Kuu Amtupe Kwa Moto Wa Jahanam.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin ..
Khalifa Wa Allah Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

ﻭﺳﻼﻡ ﻋﻠﻰ اﻟﻤﺮﺳﻠﻴﻦ، ﻭاﻟﺤﻤﺪ ﻟﻠﻪ ﺭﺏ اﻟﻌﺎﻟﻤﻴﻦ ..
ﺧﻠﻴﻔﺔ اﻟﻠﻪ اﻹﻣﺎﻡ اﻟﻤﻬﺪﻱ ﻧﺎﺻﺮ ﻣﺤﻤﺪ اﻟﻴﻤﺎﻧﻲ.