Bayana Ya Siku Ya Jumamosi kwa tarehe: 03-shaban- 1438,h
بيان اليوم السبت بتاريخ: 03 – شعبان - 1438 هـ

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=30895
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=30895

الإمام ناصر محمد اليماني
03 – شعبان - 1438 هـ
29 – 04 – 2017 مـ
11:13 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
( Kulingana na kalenda rasmi ya Mama wa Miji )
_______

Haraka
Fatwa ya wengi katika waulizaji kutaka fatwa kuhusu suali ambalo lina umuhimh mkubwa ili kuinua dhulma juu ya waliodhumiwa katika ma yatima wa kislam

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na sala na salam juu ya wote ma Nabi wa Allah Kutoka wakwanza wao mpaka khatimu wao Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa alihi wa salam na waumini Wote, Ama baada ya hapo..


Enyi ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu katika mashariki ya ardhi na magharibi yake na kiasi gani zimefika kwetu masuali katika maudhi moja imekaririka kutaka fatwa ndani yake kwa wingi kutoka kwa wengi wa waulizaji, Na Suali lao lilikua ni moja kwa pamoja kama ifwatavo: ( Pindi akifa mtoto kabla ya babake na mtoto ana watoto na anao ndugu na alikua ana wasmamia masarifu yao wote ni babu'yao, Na ba'ada muda akafa babu, Wakasema wote waulizaji kwamba hakika wanazuoni wamewapa fatwa kua hawana watoto wa ndugu yao Alie kufa kitu kwakua amekufa kabla ya baba Mwenye Mali, Wakawapa fatwa wanazuoni kwa kuwadhulumu watoto wa ndugu yao na kua wasiwape kutokana na sehemu ya baba wa ma yatima kitu kwa hoja amekufa baba wa watoto kabla hajafa babu mwenye mali, wakawapa fatwa kua hawana kitu watoto wa mtoto wa kwanza kitu, Wakawapa fatwa wanazuoni kua alio'kiwacha babu kina'gawanywa baina ya ndugu ya alio kufa na inaharamishwa juu ya watoto wa ndugu yao Ambao ni mayatima kutokana na nasibu ya babayo kwa sababu ya kufa kwake kabla kufa babu mwenye Mali.

Basi nini dhana yenu kwa fatwa ya wanazuoni wote wa waislamu pamoja ya khitilafu ya madhehebu zao wamelewana juu ya nasibu ya ndugu yao kwenye mirathi haiyendi kwa watoto wake mayatima? Bali wamefanya nasibu yake iyende kwa ndugu zake peke pasi na watoto wake na wakatoa fatwa kwamba mayatima hawana kitu kutoka kwa nasibu ya baba'yao kutoka kwa urathi wa babake? ))


Limeisha suali Ambalo muda mrefu kama lilivo kariri Kwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na Hio Kwenu Jibu kutoka kwa Muhakam Ya kitabu moja kwa moja. Amesema Allah Ta3ala:
{ إِنَّ الَّذِينَ يَأْكُلُونَ أَمْوَالَ الْيَتَامَىٰ ظُلْمًا إِنَّمَا يَأْكُلُونَ فِي بُطُونِهِمْ نَارًا ۖ وَسَيَصْلَوْنَ سَعِيرًا (10) } صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika wale ambao wanakula mali ya mayatima dhulma lakini wanakula katika matumbo yao moto na watafikishwa kwenye saiir(10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].

Basi kwa haki gani enyi ma3ashara Ya mandugu mule nasibu ya baba wa ma yatima?
hivi si ni watoto wake ndio watakae kurithi nasibu yake, basi vipi munaiongeza nasibu yake kwa nasibu yenu pamoja yakua wako watoto wake? Na jee ndugu zake ni bora kutukua yake kuliko watoto wake? awauweni Allah munavozua enyi ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu basi kiasi gani mume'dhulumu ma yatima dhulma kubwa kwa fatwa yenu ya kishetani kutoka kwa nafsi zenu bila ujuzi kutoka kwa Allah;
bali ni kutoka kwa nafsi zenu na mukakhalifu ameri ya Allah Ta3ala:
{ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُم مِّن نَّفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً ۚ وَاتَّقُوا اللَّـهَ الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّـهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا ﴿١﴾وَآتُوا الْيَتَامَىٰ أَمْوَالَهُمْ ۖ وَلَا تَتَبَدَّلُوا الْخَبِيثَ بِالطَّيِّبِ ۖ وَلَا تَأْكُلُوا أَمْوَالَهُمْ إِلَىٰ أَمْوَالِكُمْ ۚ إِنَّهُ كَانَ حُوبًا كَبِيرًا ﴿٢﴾ } صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema:{ Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu niMwenye kuwaangalieni (1) Na wapeni mayatima mali yao. Wala msibadilishe kibaya kwa kizuri. Wala msile mali zao pamoja na mali zenu. Hakika yote hayo ni jukumu kubwa (2)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Basi nani hao mayatima? wao ni watoto wa ali'kufa, basi watoto wake wao ndio warithi wa asili sawa ile mali amituma baba yao ama nasibu ya baba yao katika alio wacha babu ba'ada kufa babu yao, basi nasibu ya baba yao alio kufa haifi haki yake na yeye bali wanakabidhiwa watoto wake, na juu ya ndugu ya alio kufa wasalimu nasibu ya ndugu yao alio kufa kwa watoto wake ba'ada ya kubalighi akili yao na washudishwe wengine kua wamekabidhiwa haki yao ba'ada kutimia akili yao kua timamu. kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{وَابْتَلُوا الْيَتَامَىٰ حَتَّىٰ إِذَا بَلَغُوا النِّكَاحَ فَإِنْ آنَسْتُم مِّنْهُمْ رُشْدًا فَادْفَعُوا إِلَيْهِمْ أَمْوَالَهُمْ ۖ وَلَا تَأْكُلُوهَا إِسْرَافًا وَبِدَارًا أَن يَكْبَرُوا ۚ وَمَن كَانَ غَنِيًّا فَلْيَسْتَعْفِفْ ۖ وَمَن كَانَ فَقِيرًا فَلْيَأْكُلْ بِالْمَعْرُوفِ ۚ فَإِذَا دَفَعْتُمْ إِلَيْهِمْ أَمْوَالَهُمْ فَأَشْهِدُوا عَلَيْهِمْ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ حَسِيبًا (6)} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema:{Na wajaribuni mayatima mpaka wafike umri wa kuoa. Mkiwaona ni wekevu, basi wapeni mali yao. Wala msiyale kwa fujo na pupa kwa kuwa watakuja kuwa watu wazima. Na aliye kuwa tajiri naajizuilie, na aliye fakiri basi naale kwa kadri ya ada. Na mtakapo wapa mali yao washuhudizieni. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mhasibu(6)} Sadaqa Allahu Al3adhim [Alnisaa].

Basi tunayo bado nyingi katika ufafanuzi wa wazi wazi ili kuinua dhulma juu ya ma'Yatima ambao wame'wafikiana Wote wanazuoni kwa kuwadhulumu, Basi ole wao kwa viongozi wa upotevu kutokana na adhabu ya Mola Mlezi Wa Ulimwengu mda wote wa maisha ya barzakh mpaka siku ya kiyama alafu watafikishwa motoni mara ingine kwa roho na mwili; Ma'Imamu wa Upotevu na wafwasi wao katika wanazuoni wa kislamu katika wale waliwafwata bila kutumia akili, kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَلَا تَقْرَبُوا مَالَ الْيَتِيمِ إِلَّا بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ حَتَّىٰ يَبْلُغَ أَشُدَّهُ ۚ وَأَوْفُوا بِالْعَهْدِ ۖ إِنَّ الْعَهْدَ كَانَ مَسْئُولًا (34) وَأَوْفُوا الْكَيْلَ إِذَا كِلْتُمْ وَزِنُوا بِالْقِسْطَاسِ الْمُسْتَقِيمِ ۚ ذَٰلِكَ خَيْرٌ وَأَحْسَنُ تَأْوِيلًا (35) وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ ۚ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولَٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْئُولًا (36)} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3ala Asema:{Wala msiyakaribie mali ya yatima, isipo kuwa kwa njia iliyo bora, mpaka afike utuuzimani. Na timizeni ahadi. Kwa hakika ahadi itasailiwa (34) Na timizeni kipimo mpimapo. Na pimeni kwa mizani zilizo sawa. Hayo niwema kwenu na khatimaye ndio bora (35) Wala usiyafuate usiyo na ujuzi nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitasailiwa (36)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra].


na lakini wanazuoni wa upotevu wamiamua kunukulu kuliko kutumia akili na wakafwata ma'imamu wa upotevu bila kutumia akili yao kitu; Jee mwenye fatwa katika dini ya Allah anao utawala wa ilimu ilio bainika kutoka kwa Mola Mlezi wa Ulimwengu, ama ni kutoka kwa nafsi yake? kwa'kua fatwa ya batili inaikata akili na inaona akili kua hi fatwa ni batili, lakini kwa sababu kutotumia akili ilikua sababu ya msingi kuingia watu wa motoni motoni. kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ وَقَالُوا لَوْ كُنَّا نَسْمَعُ أَوْ نَعْقِلُ مَا كُنَّا فِي أَصْحَابِ السَّعِيرِ (10) فَاعْتَرَفُوا بِذَنبِهِمْ فَسُحْقًا لِّأَصْحَابِ السَّعِيرِ (11)} صدق الله العظيم [الملك].
Allah Ta3ala Asema:{Na watasema: Lau kuwa tungeli sikia, au tungeli kuwa na akili, tusingeli kuwa katika watu wa Motoni (10) Wakakiri dhambi zao. Basi kuangamia ni kwa watu wa Motoni (11)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].

Na nawabashiri wale ambao wanaongeza mali ya mayatima juu ya mali yao kwa adhabu adhimu watakavo swali watakavo vunga saumu watakavo samama usiku basi hawatopata kwao pasi na Allah rafiki wala mwenye kuwanusuru ba'ada ya kupinga fatwa ya Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
Basi kumbukeni kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَا تَقْرَبُوا مَالَ الْيَتِيمِ إِلَّا بِالَّتِي هِيَ أَحْسَنُ حَتَّىٰ يَبْلُغَ أَشُدَّهُ ۚ وَأَوْفُوا بِالْعَهْدِ ۖ إِنَّ الْعَهْدَ كَانَ مَسْئُولًا (34) وَأَوْفُوا الْكَيْلَ إِذَا كِلْتُمْ وَزِنُوا بِالْقِسْطَاسِ الْمُسْتَقِيمِ ۚ ذَٰلِكَ خَيْرٌ وَأَحْسَنُ تَأْوِيلًا (35) وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ ۚ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولَٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْئُولًا (36)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Wala msiyakaribie mali ya yatima, isipo kuwa kwa njia iliyo bora, mpaka afike utuuzimani. Na timizeni ahadi. Kwa hakika ahadi itasailiwa (34) Na timizeni kipimo mpimapo. Na pimeni kwa mizani zilizo sawa. Hayo niwema kwenu na khatimaye ndio bora (35) Wala usiyafuate usiyo na ujuzi nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitasailiwa (36)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra].


Na Mukimbuke kauli ya Allah Ta3ala:
{وَاتَّقُوا اللَّهَ الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالْأَرْحَامَ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيبًا (1) وَآتُوا الْيَتَامَىٰ أَمْوَالَهُمْ ۖ وَلَا تَتَبَدَّلُوا الْخَبِيثَ بِالطَّيِّبِ ۖ وَلَا تَأْكُلُوا أَمْوَالَهُمْ إِلَىٰ أَمْوَالِكُمْ ۚ إِنَّهُ كَانَ حُوبًا كَبِيرًا (2)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{ Na tahadharini na Mwenyezi Mungu ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu niMwenye kuwaangalieni (1) Na wapeni mayatima mali yao. Wala msibadilishe kibaya kwa kizuri. Wala msile mali zao pamoja na mali zenu. Hakika yote hayo ni jukumu kubwa (2)} Sadaqa Allah Al3adhim


na mukumbuke kauli ya Allah Ta3ala:
{وَابْتَلُوا الْيَتَامَىٰ حَتَّىٰ إِذَا بَلَغُوا النِّكَاحَ فَإِنْ آنَسْتُم مِّنْهُمْ رُشْدًا فَادْفَعُوا إِلَيْهِمْ أَمْوَالَهُمْ ۖ وَلَا تَأْكُلُوهَا إِسْرَافًا وَبِدَارًا أَن يَكْبَرُوا ۚ وَمَن كَانَ غَنِيًّا فَلْيَسْتَعْفِفْ ۖ وَمَن كَانَ فَقِيرًا فَلْيَأْكُلْ بِالْمَعْرُوفِ ۚ فَإِذَا دَفَعْتُمْ إِلَيْهِمْ أَمْوَالَهُمْ فَأَشْهِدُوا عَلَيْهِمْ ۚ وَكَفَىٰ بِاللَّهِ حَسِيبًا (6)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{{Na wajaribuni mayatima mpaka wafike umri wa kuoa. Mkiwaona ni wekevu, basi wapeni mali yao. Wala msiyale kwa fujo na pupa kwa kuwa watakuja kuwa watu wazima. Na aliye kuwa tajiri naajizuilie, na aliye fakiri basi naale kwa kadri ya ada. Na mtakapo wapa mali yao washuhudizieni. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa Mhasibu(6)} Sadaqa Allahu Al3adhim .

Basi kwa haki gani munakula nasibu ya baba'yao kwenye uratha? jee nyinyi ni awula kwa nasibu ya baba yao kuliko watoto wao ! Basi kumbukeni kauli ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ يَأْكُلُونَ أَمْوَالَ الْيَتَامَىٰ ظُلْمًا إِنَّمَا يَأْكُلُونَ فِي بُطُونِهِمْ نَارًا ۖ وَسَيَصْلَوْنَ سَعِيرًا (10)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{Hakika wale ambao wanakula mali ya mayatima dhulma lakini wanakula katika matumbo yao moto na watafikishwa kwenye saiir(10)} Sadaqa Allah Al3adhim.

Basi kwa haki gani munakula nasibu ya baba'yao kutokana na aliko'kiwacha babu yao? Na jee munaona kua ndugu ni awula Wao kwa nasibu ya ndugu yao kuliko watoto wke ma'Yatima?
Awauweni Allah munavo zua !

Basi yule ambae anaona kua yeye ni katika wanazuoni wa waislamu anao tembe Ya u'ume na kua ni shujaa Basi aje Mbele kwa hiwar kuzungumza Na Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani kwa pic yake ya kweli na jina lake la kweli kwa kuzungumza mazungumzo kwa kalamu ambao ni kimya ili nisiweze kumkatiza na asiweze kunikatiza, na kila moja wetu abomoe hoja kwa hoja na anarushia kwa haki juu ya batili basi ifinike ndio mara moja ipote, na tutaenda kuona nani yuko na haki na jee iko pamoja na wanazuoni wawaislamu ama iko pamoja na Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani? na hatimai yule ambae anao utawala wa ilimu na ujuzi unaon'yamazisha Ndimi kutoka kwa Mola Mlezi Wake kutoka kwa muhakam kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim basi atanyamazisha nayo batili , hakika batili ni yenye kuondoka, Allahuma Nimibalighisha Allahuma shuhudia, Basi balighisheni Bayana Yangu hi kwa waislamu kwa jumla na wanazuoni wao kutaka udhuru kutoka kwa Mola Mlezi Wenu na huwenda wakawa wachamungu, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin.

Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Muadilifu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

خليفة الله وعبده العادل الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____