Nukulu
Al'Mahdi Al'Muntadhar Anasamehe Na Ana'Amuru Ma Ansari Wake Kusamehe Kwa Yule Alio Mtusi Ama Amemdhulumu Ama Amemlani Katika Waislamh Na Watu Wote.


Na Hio Kwako Nukuli
Enyi Wapenzi Wa Moyo Wangu Na Wapenzi Wa Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Salam- Enyi Wapenzi Wa Allah.. Kaumu Anawapenda Na Wanampenda, Hakika Mimi Namshuhudisha Allah Na Nawashuhudisha Na Tosha Kwa Allah Kua Shahidi, Kua Hakika Mimi Nimesamehe Kwa Yule Alio Nidhulumu Kwa Yale Sinao Mimi Ama Amenitukana Ama Amenitusi Ama Amenilani Katika Waislamu, Na Nasema: Allahuma Waghufurie Wapenzi Wangu Kwa Allah Waislamu Kwakua Wao Hawajuwi Kua Wao Wanamtusi Na Kumshutumu Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Allahuma Waghufurie Wao, Allahuma Wao Wako Kwenye Dhima Yako, Allahuma Usighadhibike Juu Yao Wala Isiwapate Yale Malipo Yanao Toka Kwenye Ulimi Wao Kuhusu Al'Imam Al'Mahdi, Allahuma Mimi Mja Wako Basi Nimewasamehe Yale Yalio Tangulia Kutokana Na Udhia Wao Na Yale Yalio Akhirika Kwajili Ya Uso Wako Mkarimu, Allahuma Basi Wasamehe Waghufurie Na Waongoze Kwajili Ya Mja Wako Na Wewe Ni Mrahimu Kwao Kuliko Mja Wako Na Waadi Wako Ni Haki Na Wewe Ni ARhama Arahimin, Ewe Yule Ambae Umitosheleza Kila Kitu Rahma Na Ilimu, Ewe Arhama Arahimin.

Na Enyi Wapenzi Wa Allah Na Mtume Wake Na Khalifa Wake Basi Mukisikia Yoyote Katika Waislamu Anamshutumu Al'Imam Al'Mahdi Basi Iwe Jibu Lenu Kwao kunukulu Bayana Yangu Hi

Basi Wabashirieni Kua Mimi Nimiwasamehe Kutangulia Na Nimikataza Ma Anssari Wangu Kuchukua Kisasi Cha Imamu Wao ataka Kutukana Na Kutusi

Na Wasema Salaman Na Wape Mgongo Majahili, Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabi Alalamin..


Akhukum Katika Dini Ya Allah Dhalili Kwa Waumini Mwenye Nguvu Kwa Makafiri Mashetani, Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

أخوكم في دين الله الذليل على المؤمنين العزيز على الكافرين الشياطين، الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــــــــــــــــ




اقتباس
المهدي يعفو ويأمر أنصاره بلعفوا عن من سبه أو ظلمه أو لعنه من المسلمين والناس أجمعين.

إليك الاقتباس
يا أحباب قلبي وأحباب جدي محمد رسول الله - صلى الله عليه وآله وسلم - يا أحباب الله.. قوماً يحبهم ويحبونه، إني أشهد الله وأشهدكم وكفى بالله شهيداً أن قد عفوت عمن ظلمني بما ليس فيني أو شتمني أو سبني أو لعنني من المسلمين، وأقول: اللهم اغفر لأحبتي في الله المسلمين فإنهم لا يعلمون أنهم يسبّون ويشتمون خليفة الله وعبده الإمام المهدي ناصر محمد اليماني، اللهم فاغفر لهم، اللهم إنهم في ذمتك، اللهم لا تغضب عليهم ولا تصبهم بحصائد ألسنتهم في الامام المهدي، اللهم إني عبدك قد عفوت ما تقدم منهم من الأذى وما تأخر لوجهك الكريم، اللهم فاعف عنهم واغفر لهم وأهدهم من أجل عبدك وأنت أرحم بهم من عبدك ووعدك الحق وأنت أرحم الراحمين، يامن وسعت كل شيء رحمة وعلماً، يا أرحم الراحمين.

ويا أحباب الله ورسوله وخليفته فإذا سمعتم أحد المسلمين يشتم الإمام المهدي فليكن جوابكم عليهم الاقتباس من بياني هذا

فبشروهم أني قد عفوت عنهم مسبقاً ونهيت أنصاري عن الأخذ بثأر إمامهم برد السبِّ والشتم

وأن يقولوا سلاماً ويعرضوا عن الجاهلين. و
سلام على المرسلين والحمد لله رب العالمين..