Na Kadhalika Mashuhada Amewazidisha Allah Kwenye Miyili Yao Zaidi Basta Ukunjufu

الإمام ناصر محمد اليماني
03 - 10 - 1430 هـ
23 - 09 - 2009 مـ
01:14 صباحاً


Na Hivo Hivo Ma Shuhada Amewazidisha Zaidi Ukunjufu Kwa Mwili Wao Kukirimu Miyili Yao..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin.. Ndugu Mkarimu, Hakika Ya Ma'Nabi Na Ma'Imamu Wa Haki Na Mashuhada Amewazidisha Allah Basta Nguvu Zaidi katika Mwili Wao Juu Ya Wote Waislamu Na Makafiri, Lakini Haiwi Mwili Wao Uyusi Wanuka Wala Mifupa yakumumunyuka Sawa Wawe Kwenye Makaburi Yao Ama Juu Ya Vitanda Vao, Lakini Hapana Wala Haitobadilika Mwili Wao Kitu Basi Angalieni Mwili Wa Suleiman Pindi Alipo Kufa Na Yeye Yuko Kwenye Kiti Chake, Na Wala Hawakujuwa Kwa Kufa Kwake Ba'ada Muda Mrefu Mno Ispokua Mnyama Wa Ardhi, Akasema Allah Ta3ala:
{فَلَمَّا قَضَيْنَا عَلَيْهِ الْمَوْتَ مَا دَلَّهُمْ عَلَى مَوْتِهِ إِلَّا دَابَّةُ الْأَرْضِ تَأْكُلُ مِنسَأَتَهُ فَلَمَّا خَرَّ تَبَيَّنَتِ الْجِنُّ أَن لَّوْ كَانُوا يَعْلَمُونَ الْغَيْبَ مَا لَبِثُوا فِي الْعَذَابِ الْمُهِينِ} صدق الله العظيم [سبأ:14
Allah Ta3ala Asema:
{ Na tulipo mhukumia kufa, hapana aliye wajuulisha kufa kwake ila mnyama wa ardhi aliye kula fimbo yake. Na alipo anguka majini walitambua lau kuwa wangeli jua ya ghaibu wasingeli kaa katika adhabu hiyo ya kufedhehesha} Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa:14]. Na Kwaninin Alisema Allah Ta3ala: {مَا دَلَّهُمْ عَلَى مَوْتِهِ إِلَّا دَابَّةُ الْأَرْضِ
{ hapana aliye wajuulisha kufa kwake ila mnyama wa ardhi} ? Mana Yani Kuwa Yeye Hakugeuka Wala Kuathirika Wala Kuharibika Kitu Katika Mwili Wake Ba'ada Kufa Kwake, Na Hio Karama Ya Mwili Wa Ma'Nabi Na Ma'imamu Wa Haki Na Mashuhada, Basi Angalia Imam Twalut Akawambia Wao Nabi Wao:
{وَقَالَ لَهُمْ نَبِيُّهُمْ إِنَّ اللَّهَ قَدْ بَعَثَ لَكُمْ طَالُوتَ مَلِكاً قَالُوا أَنَّى يَكُونُ لَهُ الْمُلْكُ عَلَيْنَا وَنَحْنُ أَحَقُّ بِالْمُلْكِ مِنْهُ وَلَمْ يُؤْتَ سَعَةً مِنْ الْمَالِ قَالَ إِنَّ اللَّهَ اصْطَفَاهُ عَلَيْكُمْ وَزَادَهُ بَسْطَةً فِي الْعِلْمِ وَالْجِسْمِ وَاللَّهُ يُؤْتِي مُلْكَهُ مَنْ يَشَاءُ وَاللَّهُ وَاسِعٌ عَلِيمٌ}صدق الله العظيم [البقرة:247]
Allah Ta3ala Asema:{ Na Nabii wao akawaambia: Mwenyezi Mungu amekuteulieni Taluti (Sauli) kuwa ni mfalme. Wakasema: vipi atakuwa na ufalme juu yetu, na hali sisi tuna haki zaidi kupata ufalme kuliko yeye, naye hakupewa wasaa wa mali? Akasema: Mwenyezi Mungu amemteua yeye juu yenu na amemzidishia ukunjufu wa ilimu na kiwiliwili. Na Mwenyezi Mungu humpa ufalme wake amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa na Mjuzi (247)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Baqara:247]. Lakini (Basta) Ziyada Ukunjufu Ya ilimu Juu Yao Yani Amemzidisha Juu Ya Wanazuoni Wa Bani Israil Zaidi Ukunjufu Katika Ilimu Na Hayo Ni Katika Uhai Wake, Na Ama ( Basta ) Ziyada Ukunjufu Katika Mwili Nayo Ni Zaidi Juu Ya Viwiliwili Vao Lakini Hauwi Uyusi Wanuka Wala Mifupa Wa Kumumunyuka Baada Kufa Kwake, Na Miyili Ya Waislam Awu Makafiri Yanakuwa Uyusi Yananuka Na Mifupa Ya Mumunyuka Ba'ada Kufa Kwao ila Ma Nabi Wa Watu Na Ma Imamu Wao Wale Ambao Ame'wateuwa Allah Juu Ya Watu Akawazidisha Ukunjufu Wa Ilimu Na Kwa Kiwiliwili Ba'ada Kufa Kwao, Lakini Haiwi Miyili Yao Uyusi Wanuka Wala Mifupa Ya Kumumunyuka, Na Kadhalika Ma Shuhada Amewazidisha Allah Ukunjufu Katika Mwili Kuwakirimu Miyili Yao Haiwi Uyusi Wanuka Wala Mifupa Yakumumunyuka, Ndio Atamfufua Allah Mwili Wake Uko Vile Vile Kama Siku Alipo Uliwa Hawujaharibika Kitu. Iwe Sawa Walikua Kwa Utumbo Wa Ardhi Kwa Makaburi Yao Ama Juu Yake Ama Kwa Vitanda Vao Katika Nyumba Juu Ya Viti Vao Va Enzi Lakini Miyili Yao Haitobadilika Kitu, Na Hio Sio Dalili Kwa Kuwepo Adhabu Ya Kaburi Na Neema Yake; Bali Ni Kama Nilivo Towa Fatwa Kwa Haki Kwamba Roho Ambao Hamuna Ilimu Nayo Inamhusu Mwenye Neema Katika Bustani La Neema Ama Katika Jahim Kwenye Moto Wa Allah Unao Waka Kama Tulivo Tanguliza Ku'Fafanua
Kwenye Bayana Kabla.

Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.