Jina pamoja na jina la Allah


الاامام المهدي ناصر محمد اليما ني
29 - 05 - 1433 هـ
21 - 04 - 2012 مـ
05:17 صباحاً
ــــــــــــــــــــ






الإمام المهديّ يشهد بالحقّ: أنّ لا إله الا الله وأنّ كافّة المُرسلين رسل الله من نوحٍ إلى خاتمهم محمد صلى الله عليهم وسلم



Alimam Almahdi ana shuhudia kwa haki: kuwa La Ilaha Ila Allah na kuwa Mitume wote ni Mitume wa Allah kutoka Nu7h mpaka alio khitimisha utume Muhammad sala Allahu aleyhim wasalam..




بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدّي محمدٍ رسول الله وآله الأطهار، وجميع المسلمين إلى يوم الدين، وبعد..

Bismillahi Alrahmani Alrahim,na sala na salam kwa babu yangu Muhammad Mtume wa Allah wa Alihi waliotwahirika, Na waislamu wote mpaka siku ya Diin.

.


Una kitu gani wasema ewe mwenye istihizai Alqa7htani watusingizia juu yetu bila ya haki? hakika sisi ila tu tumikanusha fatwa ya wale ambao hawajuwi kuwa Allah hajaongeza jina pamoja na jina lake ispokuwa jina la Muhammad Mtume wa Allah sala Alahu aleyhi walihi Wa Salam, Wakasema dalili ni shahada:" Ash'hadu ana Lailaha ila Allah wa ash'hadu ana Muhammad Rasula Allah "




Na alafu tuliwambia wao: Na hivo hivo walio amini katika wafwasi wa Mitume kabla yetu wanasema kama tunavo sema sisi waislamu, Na kwa mfano..
Mwenye kuamini na akamfwata Nabi wa Allah Nu7h basi yeye bila shaka atasema:" Ash'haudu ana La ilaha Ila Allah wa Ash'hdu ana Nu7h Rasul Allah", Na hivo hivo wafwasi wa Mitume bada yake mpaka Mtume wa mwisho kwakuwa mwenye kusadikisha Mtume kutoka kwa Allah basi yeye atasema:" Ashadu Ana La ilaha ila Allah wa Ash'hadu ana fulani ni rasula Allah" Na hakufanya Allah hi shahada ya haki peke ni ya Muhammad Mtume wa Allah- sala Allah aleyhi wa salam-Na Mitume wengine hawana, ispokuwa wanataka wale ambao wanawalingania kwa shirki muwatenge Mitume wa Allah na mumtukuze zaidi kupitisha juu ya Muhammad Mtume wa Allah-sala Allahu Aleyhi wa alihi Wa Salam- kwa kudai kwenu kuwa yeye pekeyake jina lake limiongezwa pamoja na jina la Allah, Na hakika nyinyi ni warongo, bali hi ndio utenganishi kati ya Mitume ya Allah, wa uswali Aleyhim wa usalim taslima..




Ila tumikanusha kwa wale wamifanya shahada ni ya Mtume wa Alllah Muhamad sala Allahu alyhi wa alihi wasalm -pekeyake bila ya Mitume wengine.


Lakini mimi ni Alimam Almahdi Ash'hadu natoaa shahad Ana la ilaha ila Allah wa Ash'hadu Ana Muhammad Mtume wa Allah sala Allah aleyhi wa alihi waliotwahirika wasalam. Wa Ash'hadu Ana La ilaha Ila Allah wa ash'hdu ana Nu7h rasula Allah sala Allahu aleyhi walihi wasala, Na hivo hivo shahada yangu kwa haki kwa Mitume wote ba'ada ya Nu7h mpaka alio khitimu utume na unabi Mtumi wa Allah Muhammad sala Allahu Aleyhi walihi wasalam-sitafautishi kati ya Mitume yoyote hanifan musliman wala mimi sio katika waliomshirikisha.



Na kitugani wasema ewe qahtani unaweka maherufu katika bayana kutokana na mhaliyake? bali wewe ni katika wanofanya isthizai wala hajakuchaguwa Allah kwa watu imamu.Akasema Allah Ta3ala:

{قُلْ هَاتُوا بُرْهَانَكُمْ إِنْ كُنتُمْ صَادِقِينَ} صدق الله العظيم [البقرة:111].
Akasema Allah Ta3ala:{Sema leteni burhani yenu ikiwa niyinyi ni wakweli}[Sadaqa Allah Al3adhim:111]




Na Salam Ju Ya Mitume,Wa Alhdulillah Rabi Al3alamin
Ndugu Yenu Alimam Almahdi Nasser Muhammad Alyamani .




وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ

۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=40844