Khitankukhitini sio ila ni ya mtoto wa kiume peke, ama kuchinja basi ni ya wote.
ختان ليس إلا للولد فقط، وأمّا الذبح فلكليهما

الإمام ناصر محمد اليمانيّ
07- 29 -2010 مـ
17 -شعبان -1431
هـ
03:04 صباحــاً
_____________________


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala na Salam ju ya mpendwa wetuMuhammad na ali yake walio twahirika na walio tangulia ma Alanssar, Na Salam juya dada yetu mamake hajer lakini ispokua kukhitini sio ila ni ya mtoto wa kiumepeke, Na ama kuchinja basi ni ya wotewakiume na wa kike kwa yule ambae amemfanyia wepesi Allah basi awalika majiranizake na amtakae katika marafiki wake, Na alishe walio fika kwake katika maskini wala asiwafukuze, Na kiasi yauwezo inakua ile walima na juu ya wale hawana uwezo hamna neno hakuna haraj juyao kuchenja wala haikua hayo ni amri katika dini ya lazima juu ya wauminimpaka useme na jee inajazi kondo; Bali hili jambo ni lakupendekeza ewe amata Allahkwa yule imesahlika kwake hayo pindi akipata mtoto wa kiume ama wa kike kwambaachinje kufrahia kwa mzaliwa wake ainukie kwa wema
Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin ..
Ndugu yenu Al'Imama Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.


https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=2380