Hakuna siku ya kiyama njia tutapita ju ya moto chini jahanam. Hakuna,

أعوذ بالله أن أكون من الجاهلين فأتَّبعك يا حبيب الحبيب..

Najilinda niwe katika majahili ili
nikufwatw ewe 7habi Al7habi..

Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani


- 5 -
الإمام ناصر محمد اليماني
02 - 01 - 1429 هـ
10 - 01 - 2008 مـ
11:52 مـساءً
ــــــــــــــــ

[COLOR=#800080]http://: https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=1040]
أعوذ بالله أن أكون من الجاهلين فأتَّبعك يا حبيب الحبيب..
Najilinda niwe katika majahili ili
nikufwatw ewe 7habi Al7habi..


ﺑﺴﻢ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﺮﺣﻤﻦ ﺍﻟﺮﺣﻴﻢ، ﻭﺳﻼﻡٌ ﻋﻠﻰ ﺍﻟﻤﺮﺳﻠﻴﻦ، ﻭﺍﻟﺤﻤﺪُ ﻟﻠﻪ ﺭﺏّ ﺍﻟﻌﺎﻟﻤﻴﻦ . ﺛﻢّ ﺃﻣّﺎ ﺑﻌﺪ ..
Ewe 7habib Al7habib, sisi tulikuwa twazungumza kuhusu kila nafsi ilio letwa ambao ni katika wamotoni na kuwa anaempeleka Malaika anaoitwa 3atid na mwenzake 3atid mwenye kutowa ushuhuda wa haki Malaika aitwa Raqib.
Ama wle 3ibadu Allah Alswali7hin waja wema basi wao ni wageni wamikirimiwa na Al'Rahman hawaji kuendeshwa kwa Al'Rahman wala hofu ju yao wala hawan huzuni, na anatuma Malaika kuwapokea na waja Malaika kuwakaribisha na hio ndio kuendeshwa kwao na hivio ndio anatuma Malaika kuwapokea na kwa amri kutokana na Al'Rahman na kuwapeleka kwa Makalio yao na hawakupelekwa bali wamikuja wenyewe ndipo Allah akwatuma Malaika kuwapokea na kuwatole mapokezi mazuri kwajina la Al'Rahman Al'Rhim, akasema Allah Ta3ala,

ﺇِﻥَّ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺳَﺒَﻘَﺖْ ﻟَﻬُﻢْ ﻣِﻨَّﺎ ﺍﻟْﺤُﺴْﻨَﻰٰ ﺃُﻭﻟَٰﺌِﻚَ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻣُﺒْﻌَﺪُﻭﻥَ ﴿١٠١﴾ ﻟَﺎ ﻳَﺴْﻤَﻌُﻮﻥَ ﺣَﺴِﻴﺴَﻬَﺎ ﻭَﻫُﻢْ ﻓِﻲ ﻣَﺎ ﺍﺷْﺘَﻬَﺖْ ﺃَﻧْﻔُﺴُﻬُﻢْ ﺧَﺎﻟِﺪُﻭﻥَ ﴿١٠٢﴾ ﻟَﺎ ﻳَﺤْﺰُﻧُﻬُﻢُ ﺍﻟْﻔَﺰَﻉُ ﺍﻟْﺄَﻛْﺒَﺮُ ﻭَﺗَﺘَﻠَﻘَّﺎﻫُﻢُ ﺍﻟْﻤَﻠَﺎﺋِﻜَﺔُ ﻫَٰﺬَﺍ ﻳَﻮْﻣُﻜُﻢُ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﻛُﻨْﺘُﻢْ ﺗُﻮﻋَﺪُﻭﻥَ ﴿١٠٣﴾ { ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻷﻧﺒﻴﺎﺀ ‏]
Allah Ta3ala Asema: { Hakika wale ambao umewatangulia wema kutoka Kwetu, hao watatenganishwa na hayo (101) Hawatasikia mvumo wake. Nao watudumu katika yale ambayo nafsi zao zinayatamani (102) Hiyo fazaa kubwa haitawahuzunisha. Na Malaika watawapokea: Hii ndiyo siku yenu mliyokuwa mkiahidiwa (103)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia].

Na hakika ya sirat Almustaqim njia ilo nyoka ni hapa duniani njia ya mwenye enzi Allah Al3aziz Al7hamid njia Ambao itakupeleka peponi moja kwa moja Jannah, Na hakujalia sirat njia ya jannah na njia ya mota moja bali njia mbili njia ya pepo na njia ya moto, na nastajabu kwa umma wanaitakidi wakaifanya njia ya haki na njia ya batil ni moja inapita kwa moto wa jahanam wakafnaya njia ya sirat Almustaqim inalekea jahanam wakafwata wale wale wanao mzulia Allah ifk na upotofu na wao wanajuwa wakafwata yalo fanana katika Alquran Al3adhim.

ﺃﻋﻮﺫ ﺑﺎﻟﻠﻪ ﺃﻥ ﺃﻛﻮﻥ ﻣﻦ ﺍﻟﺠﺎﻫﻠﻴﻦ ﻓﺄﺗَّﺒﻌﻚ ﻳﺎ ﺣﺒﻴﺐ ﺍﻟﺤﺒﻴﺐ ..
Najilinda Kwa Mola Mlezi wangu nisiwe katika majahili nikufwate ewe 7habib Al7ahbi..
ﺑﺴﻢ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﺮﺣﻤﻦ ﺍﻟﺮﺣﻴﻢ، ﻭﺳﻼﻡٌ ﻋﻠﻰ ﺍﻟﻤﺮﺳﻠﻴﻦ، ﻭﺍﻟﺤﻤﺪُ ﻟﻠﻪ ﺭﺏّ ﺍﻟﻌﺎﻟﻤﻴﻦ . ﺛﻢّ ﺃﻣّﺎ ﺑﻌﺪ ..

Ewe 7habib Alhabib.. Hakika sisi tulikuwa tukizungumza kwa ile nafsi ilokuja ya motoni inapelekwa na Malaika anae itwa 3atid na mwenzake 3atid ni shahidi wa haki Malaika Raqib, Ama waja wema kipoti kilo kirimiwa hawaji sawuqan yani kuendeshwa kwa Al'Rahman hawana khofu wala wao hawana huzuni, Allah anatuma Malaika waende kuwapokea na kufatana na wao kwenda kwa makalio yao na hio ndio sawuq yani kuendeshwa kwa waja wake walokirimiwa, Hakuna yoyote alikuja na wao kuwaendesha kama watu wengine kuletwa na Malaika bali wamiwapokea Malaika kwa amri kutokana na Al'Rahman Al'Rahim wakapoke waja wake wokirimiwa milele kwajili ya hivo amituma Allah Malaika wake wakawapoke wageni wake walokirimiwa wakawaone kuwapokea kwa kuwakaribisha kwa jina la Al'Rahman Al'Rahim akasema Mola Mlezi. } ﺇِﻥَّ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺳَﺒَﻘَﺖْ ﻟَﻬُﻢْ ﻣِﻨَّﺎ ﺍﻟْﺤُﺴْﻨَﻰٰ ﺃُﻭﻟَٰﺌِﻚَ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻣُﺒْﻌَﺪُﻭﻥَ ﴿١٠١﴾ ﻟَﺎ ﻳَﺴْﻤَﻌُﻮﻥَ ﺣَﺴِﻴﺴَﻬَﺎ ﻭَﻫُﻢْ ﻓِﻲ ﻣَﺎ ﺍﺷْﺘَﻬَﺖْ ﺃَﻧْﻔُﺴُﻬُﻢْ ﺧَﺎﻟِﺪُﻭﻥَ ﴿١٠٢﴾ ﻟَﺎ ﻳَﺤْﺰُﻧُﻬُﻢُ ﺍﻟْﻔَﺰَﻉُ ﺍﻟْﺄَﻛْﺒَﺮُ ﻭَﺗَﺘَﻠَﻘَّﺎﻫُﻢُ ﺍﻟْﻤَﻠَﺎﺋِﻜَﺔُ ﻫَٰﺬَﺍ ﻳَﻮْﻣُﻜُﻢُ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﻛُﻨْﺘُﻢْ ﺗُﻮﻋَﺪُﻭﻥَ ﴿١٠٣﴾ { ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻷﻧﺒﻴﺎﺀ ‏
Allah Ta3ala Asema: { Hakika wale ambao umewatangulia wema kutoka Kwetu, hao watatenganishwa na hayo (101) Hawatasikia mvumo wake. Nao watudumu katika yale ambayo nafsi zao zinayatamani (102) Hiyo fazaa kubwa haitawahuzunisha. Na Malaika watawapokea: Hii ndiyo siku yenu mliyokuwa mkiahidiwa (103)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia].


Jee wajuwa nani ndio atakae wapokea? Ni Malaika wawili Raqib na 3atid, Na hio kwajili ya mapokezi mazuri watawachukuwa na wataendeshwa kuwaonesha makalio yao, Akasema Allah T3ala:
{ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺗَﺘَﻮَﻓَّﺎﻫُﻢُ ﺍﻟْﻤَﻠَﺎﺋِﻜَﺔُ ﻃَﻴِّﺒِﻴﻦَ ﻳَﻘُﻮﻟُﻮﻥَ ﺳَﻠَﺎﻡٌ ﻋَﻠَﻴْﻜُﻢُ ﺍﺩْﺧُﻠُﻮﺍ ﺍﻟْﺠَﻨَّﺔَ ﺑِﻤَﺎ ﻛُﻨْﺘُﻢْ ﺗَﻌْﻤَﻠُﻮﻥَ}
ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﻨﺤﻞ : ٣٢] ‏

Allah Ta3ala Asema: {Wale ambao Malaika huwafisha katika hali njema. Wanawaambia, Salamun alaykum (amani iwe juu yenu) kwa yale mliyokuwa mkiyatenda}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl :32].


Ama sirat Almustaqim njia ilonyoka ni hapa katika maisha ya dunia wanafwata waja wema njia ilo nyoka njia ya Mola Mlezi Al3aziz Al7hamid ambao inalekeza peponi jannah, Haijafanywa njia ya moto na pepo ni moja bali amijalia njia mbili njia moja yapeleka peponi jannah na njia ya pili yapeleka motoni jahanam, kustajabu kwangu ni kuona umma wanaitaqidi kuwa njia ya haki na njia ya batil ni moja inakulekeza kwa jahanam wakafanya sirat Almustaqim inapeleka motoni, Wakawafwata wale wanao mpotosha Allah na alhalli wao wanajuwa wakamuwa kufwata yalio fanana katika Alquran Al3adhim.

Na mimi ndie Almahdi Almuntadhar wa haki Nasser Muhammad Al'Yamani "NAKANUSHA AKIDA" ya bateli kuwa sirat Almustaqim ni njia yapita moton uingie peponi na ninyembamba wa unyele na ukali wa wembe; Basi nakanusha akida ya batil jumlatan na tafsilan mbingu na ardhi na naongoza kwa haki kwa sirat Almustaqim, Sirat njia ya Al3aziz Al7hamid inao lekeza peponi jannah, Na sirat njia ya shetani inapeleka motoni jahanam, kwahio mwenye kutaka kufwata njia ya Al'Rahman na jinan pepo basi kutoka hapa duniani afwate njia asirat Almusaqim mpaka pindi akifa na yeye yuko kwa njia hio basi hakika ataingia peponi jannah, Na atakae fwata njia sirat Alshetan na kumridhisha shetani na kukasirikiwa na Al'Rahman mpaka kufa kwake na yeye yuko hali hio basi ataingia motoni ndio mwisho wake mbaya, Na njia ya haki na njia ya batil ni njia mbili tafauti ama ni waloshukuru ama walo kufuru, na huwenda moja wenu kutaka kunikatiza na kusema: lakini Al'Quran Alkarim yasema katika kauli yake tukufu
{ﻭَﺇِﻥْ ﻣِﻨْﻜُﻢْ ﺇِﻟَّﺎ ﻭَﺍﺭِﺩُﻫَﺎ ﻛَﺎﻥَ ﻋَﻠَﻰٰ ﺭَﺑِّﻚَ ﺣَﺘْﻤًﺎ ﻣَﻘْﻀِﻴًّﺎ}

ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﻣﺮﻳﻢ : ٧١] ‏

Allah Ta3ala Asema: { Hakuna miongoni mwenu ila ni mwenye kuifikia. Ni hukumu ya Mola Wako, ni lazima itimizwe } Sadaqa Allah Al3adhim [Maryam :70].

Alafu tunarudi na kumjibu , hakika wanafik wanaweka badhi za hadithi zilo fanana na ayat kwa dhahiri yake lakini mukirudi kwa ayat muhakamat ambazo hazihitaji kutafsiriwa ziko wazi mtaona kuwa hizi hadith zilo nasibishwa na maneno hayo zina ikhtalifiana mbingu na ardhi kutokana aya zingine kwa dhahiri katika Al'Quran, Hivo mukafanya moto kama birika mukaweka ubao ama unyele ama panga mukafanya sirat njia ni birika wapita ju ya njia uwembamba wa nywele ukali wa wembe na atakae kuporomko kutokana na hio briji wa unyele ukali wa wembe ataporomoka mpaka motoni na mwenye kupita hakuonaguka ataingia peponi,
Maskitiko yangu makubwa kwa wanazuoni wanafundisha umma mapokezi katika mapokezi za khurafa ambazo hazina sultan kutokana na Alquran Al3adhi, lakini mukafwata ayat zilo fanana katika Alquran Al3adim ambazo bado zinahitaji taawil kwa mwenye ilimu kutoka kwa Mlezi Mola wake imamu 7hakim, mukawacha ayat mu7akamat zilo wazi hazihitaji tafsiri wala hazihitaji imamu kuzibainisha sababu ziko wazi uwazi wajuwa la mchana juu mbinguni lakini mukawacha almuhakamat zilowazi mukashikilia Hadithi za upotofu na uzushi mukafanya njia ya haki na batil ni moja kwa moto wa jahanam, Wakafanya hadithi za upotofu zilo fanana na ayat kwa dahiri ya maneno yake ambazo bado zinahitaji mwenye ilmu na imam aliowazi azitafsiri na kuzibainisha na kufafanuwa ufafanuzi ulowazi, Na mimi na chalengi Natoa Changa Moto Kwa wanazuoni wote kwa haki wala sio kujigamba bali kwakubainisha zilo fanana na zilio muhakamat niwabainishie kutowa fatwa ya ilimu na uongofu na kitabu kinao leta mwangaza na nitanza kwa ayat Almuhakamat kwa hili jambo zilo wazi kama juwa ilioko mbinguni huwezi kanusha ila mwenye kuangamia, lakini mukafwata hadithi zilo fanana sababu nikuwa kuna aya moja mutashabihat zimifanana nahadithi ya upotofu na fitna ju ya Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam,
Tutanza mazungumzo yetu ju ya ayat muhakamat ambazo mulitupa nyuma ya migongo yenu mfano wa kauli ya Allah katika kitabu chake katika kauli yake kuwa moto jahanam ina milango saba na kila mlango una gawanywa ndipo utakuta makfiri wanaendeshwa zumuran yani mapoti kwa mapoti wanapelekwa na Malaika, Ndio tukaona kuna milango saba tafauti wataingizwa makafiri humo katika milango hayo wala sio watapita ju ya sirat wakianguka kwa moto wa jahanam!!! Awauwe Allah munavo zuwa, Bali pindi wakifika kwa milango yafunguliwa alafu wanatupwa ndani ya moto wa jahanam kama vile tulivo bainisha kwenu mwanzo. Katika Kauli Yake Ta3ala:

{ﺃَﻟْﻘِﻴَﺎ ﻓِﻲ ﺟَﻬَﻨَّﻢَ ﻛُﻞَّ ﻛَﻔَّﺎﺭٍ ﻋَﻨِﻴﺪٍ ﴿٢٤﴾ ﻣَﻨَّﺎﻉٍ ﻟِﻠْﺨَﻴْﺮِ ﻣُﻌْﺘَﺪٍ ﻣُﺮِﻳﺐٍ ﴿٢٥﴾ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﺟَﻌَﻞَ ﻣَﻊَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺇِﻟَٰﻬًﺎ ﺁﺧَﺮَ ﻓَﺄَﻟْﻘِﻴَﺎﻩُ ﻓِﻲ ﺍﻟْﻌَﺬَﺍﺏِ ﺍﻟﺸَّﺪِﻳﺪِ ﴿٢٦﴾ }
ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﻕ]
Allah Ta3ala Asema: { Mtupeni katika Jahannamu kila kafiri mwenye inadi (24) Azuiaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutia shaka (25) yule ambae amefanay mungu pamoja na Mwenyezi Mungu basi mtupeni katka adhabu kali (26)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Qaaf ].


Lakin mumifanya watu wapeponi na wamotoni wote wapita njia moja motoni na nakariri tena na nasema awauwe Allah munavo zuwa,munavo sema ju ya Allah kile musokijuwa kwa kufwata hadithi za upotofu sio kutokana na sultan al3lmi na kitabu kilo nawiri kufwata hidithi zilo fanana kwa kuambatisha ayat mutashabihat zilo fanana mukawacha ayat muhakamat zilo wazi nyoma ya migongo yenu kama hazitoki kwa Allah,basi angalieni ayat muhakamat zilo wazi ambazo zaeleza watu wanao pelekea motoni vile wanavo fikishwa mpaka kwa milango pindi wakifikishwa yanafunguka milango saba watupwa ndani ya moto wa jahanam katika milango tafauti hayo saba, na watu wa peponi wanashindikishwa na malaika mapa kwa milango ya pepo wakifika yanafunguka,na Allah akateremsha aya ndani yake anatuleza kutoka mwanzo wa kufufuliwa ambayo inaitwa yomulba3th mpaka mwisho wa mambo yote na akaifafanuwa akasema.
} ﻭَﻧُﻔِﺦَ ﻓِﻲ ﺍﻟﺼُّﻮﺭِ ﻓَﺼَﻌِﻖَ ﻣَﻦْ ﻓِﻲ ﺍﻟﺴَّﻤَﺎﻭَﺍﺕِ ﻭَﻣَﻦْ ﻓِﻲ ﺍﻟْﺄَﺭْﺽِ ﺇِﻟَّﺎ ﻣَﻦْ ﺷَﺎﺀَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﺛُﻢَّ ﻧُﻔِﺦَ ﻓِﻴﻪِ ﺃُﺧْﺮَﻯٰ ﻓَﺈِﺫَﺍ ﻫُﻢْ ﻗِﻴَﺎﻡٌ ﻳَﻨْﻈُﺮُﻭﻥَ ﴿٦٨﴾ ﻭَﺃَﺷْﺮَﻗَﺖِ ﺍﻟْﺄَﺭْﺽُ ﺑِﻨُﻮﺭِ ﺭَﺑِّﻬَﺎ ﻭَﻭُﺿِﻊَ ﺍﻟْﻜِﺘَﺎﺏُ ﻭَﺟِﻲﺀَ ﺑِﺎﻟﻨَّﺒِﻴِّﻴﻦَ ﻭَﺍﻟﺸُّﻬَﺪَﺍﺀِ ﻭَﻗُﻀِﻲَ ﺑَﻴْﻨَﻬُﻢْ ﺑِﺎﻟْﺤَﻖِّ ﻭَﻫُﻢْ ﻟَﺎ ﻳُﻈْﻠَﻤُﻮﻥَ ﴿٦٩﴾ ﻭَﻭُﻓِّﻴَﺖْ ﻛُﻞُّ ﻧَﻔْﺲٍ ﻣَﺎ ﻋَﻤِﻠَﺖْ ﻭَﻫُﻮَ ﺃَﻋْﻠَﻢُ ﺑِﻤَﺎ ﻳَﻔْﻌَﻠُﻮﻥَ ﴿٧٠﴾ ﻭَﺳِﻴﻖَ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﻛَﻔَﺮُﻭﺍ ﺇِﻟَﻰٰ ﺟَﻬَﻨَّﻢَ ﺯُﻣَﺮًﺍ ﺣَﺘَّﻰٰ ﺇِﺫَﺍ ﺟَﺎﺀُﻭﻫَﺎ ﻓُﺘِﺤَﺖْ ﺃَﺑْﻮَﺍﺑُﻬَﺎ ﻭَﻗَﺎﻝَ ﻟَﻬُﻢْ ﺧَﺰَﻧَﺘُﻬَﺎ ﺃَﻟَﻢْ ﻳَﺄْﺗِﻜُﻢْ ﺭُﺳُﻞٌ ﻣِﻨْﻜُﻢْ ﻳَﺘْﻠُﻮﻥَ ﻋَﻠَﻴْﻜُﻢْ ﺁﻳَﺎﺕِ ﺭَﺑِّﻜُﻢْ ﻭَﻳُﻨْﺬِﺭُﻭﻧَﻜُﻢْ ﻟِﻘَﺎﺀَ ﻳَﻮْﻣِﻜُﻢْ ﻫَٰﺬَﺍ ﻗَﺎﻟُﻮﺍ ﺑَﻠَﻰٰ ﻭَﻟَٰﻜِﻦْ ﺣَﻘَّﺖْ ﻛَﻠِﻤَﺔُ ﺍﻟْﻌَﺬَﺍﺏِ ﻋَﻠَﻰ ﺍﻟْﻜَﺎﻓِﺮِﻳﻦَ ﴿٧١﴾ ﻗِﻴﻞَ ﺍﺩْﺧُﻠُﻮﺍ ﺃَﺑْﻮَﺍﺏَ ﺟَﻬَﻨَّﻢَ ﺧَﺎﻟِﺪِﻳﻦَ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻓَﺒِﺌْﺲَ ﻣَﺜْﻮَﻯ ﺍﻟْﻤُﺘَﻜَﺒِّﺮِﻳﻦَ ﴿٧٢﴾ ﻭَﺳِﻴﻖَ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺍﺗَّﻘَﻮْﺍ ﺭَﺑَّﻬُﻢْ ﺇِﻟَﻰ ﺍﻟْﺠَﻨَّﺔِ ﺯُﻣَﺮًﺍ ﺣَﺘَّﻰٰ ﺇِﺫَﺍ ﺟَﺎﺀُﻭﻫَﺎ ﻭَﻓُﺘِﺤَﺖْ ﺃَﺑْﻮَﺍﺑُﻬَﺎ ﻭَﻗَﺎﻝَ ﻟَﻬُﻢْ ﺧَﺰَﻧَﺘُﻬَﺎ ﺳَﻠَﺎﻡٌ ﻋَﻠَﻴْﻜُﻢْ ﻃِﺒْﺘُﻢْ ﻓَﺎﺩْﺧُﻠُﻮﻫَﺎ ﺧَﺎﻟِﺪِﻳﻦَ ﴿٧٣﴾ ﻭَﻗَﺎﻟُﻮﺍ ﺍﻟْﺤَﻤْﺪُ ﻟِﻠَّﻪِ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﺻَﺪَﻗَﻨَﺎ ﻭَﻋْﺪَﻩُ ﻭَﺃَﻭْﺭَﺛَﻨَﺎ ﺍﻟْﺄَﺭْﺽَ ﻧَﺘَﺒَﻮَّﺃُ ﻣِﻦَ ﺍﻟْﺠَﻨَّﺔِ ﺣَﻴْﺚُ ﻧَﺸَﺎﺀُ ﻓَﻨِﻌْﻢَ ﺃَﺟْﺮُ ﺍﻟْﻌَﺎﻣِﻠِﻴﻦَ ﴿٧٤﴾ ﻭَﺗَﺮَﻯ ﺍﻟْﻤَﻠَﺎﺋِﻜَﺔَ ﺣَﺎﻓِّﻴﻦَ ﻣِﻦْ ﺣَﻮْﻝِ ﺍﻟْﻌَﺮْﺵِ ﻳُﺴَﺒِّﺤُﻮﻥَ ﺑِﺤَﻤْﺪِ ﺭَﺑِّﻬِﻢْ ﻭَﻗُﻀِﻲَ ﺑَﻴْﻨَﻬُﻢْ ﺑِﺎﻟْﺤَﻖِّ ﻭَﻗِﻴﻞَ ﺍﻟْﺤَﻤْﺪُ ﻟِﻠَّﻪِ ﺭَﺏِّ ﺍﻟْﻌَﺎﻟَﻤِﻴﻦَ ﴿٧٥﴾ {
ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﺰﻣﺮ ‏]

Allah Ta3ala Asema: { Na itapulizwa parapanda, wazimie waliomo mbinguni na waliomo ardhini, ila ambaye Mwenyezi Mungu amemtaka. Kisha itapulizwa mara nyengine. Hapo watainuka wawe wanangojea (68) Na ardhi itang’ara kwa Nuru ya Mola Wake, na Kitabu kitawekwa, Na wataletwa Manabii na mashahidi, na patahukumiwa baina yao kwa haki, wala hawatadhulumiwa (68) Na ardhi itang’ara kwa Nuru ya Mola Wake, na Kitabu kitawekwa, Na wataletwa Manabii na mashahidi, na patahukumiwa baina yao kwa haki, wala hawatadhulumiwa (69) Na kila nafsi italipwa kwa yale iliyoyafanya, na Yeye anayajua sana wanayoyatenda (70) Wakaendeshwa Wale Ambao Wamekufuru Kulekea Jahanam Mapote Mpaka Wakifikia Yanafunguliwa Milango yake wakawambia wao walinzi wake hivi hawakujieni Mitume Kutokana na Nyinyi Wanawasomeini Ma Aya Za Mola Mlezi Wenu na Kuwaonya magno ya Siku Yenu Hi Wakasema Ndio Lakini imestahiki Neno la Adhabu juu ya Makafiri (71) Itasemwa: Ingieni milango ya Jahannamu mdumu humo. Basi ni ubaya ulioje wa makazi ya wanaotakabari (72) Na waliomcha Mola Wao watapelekwa Peponi kwa makundi, mpaka watakapoifikia, nayo milango yake imekwishafunguliwa, walinzi wake watawaambia: Salaamun Alaikum, Mmekuwa wema. Basi ingieni humu mkae milele (73) Na watasema: Alhamdulillahi kwa aliyetutimizia ahadi Yake, na akaturithisha ardhi, tunakaa katika Bustani popote tupendapo. Basi ni malipo mazuri yaliyoje ya watendao 74) Na utawaona Malaika wakizunguka pembeni mwa Arshi ya Mwenyezi Mungu, wakimsabihi na kumsifu Mola Wao. Na patahukumiwa baina yao kwa haki na patasemwa: Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe vyote (75)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzzumur].

Hivi hauoni hadithi ya upotofu hapa ime ikhitalifiana mbali mbali mbingu na ardhi kwa hi aya tukufu almuhkamat ilowaZi?
Lakini mukaifwata hio hadithi kwa sababu imifanana na aya ingine katika Alquran Alkarim nayo ni hi kauli ya Allah Ta3ala Anasema:

{ ﻭَﺇِﻥْ ﻣِﻨْﻜُﻢْ ﺇِﻟَّﺎ ﻭَﺍﺭِﺩُﻫَﺎ ﻛَﺎﻥَ ﻋَﻠَﻰٰ ﺭَﺑِّﻚَ ﺣَﺘْﻤًﺎ ﻣَﻘْﻀِﻴًّﺎ ﴿٧١﴾ ﺛُﻢَّ ﻧُﻨَﺠِّﻲ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺍﺗَّﻘَﻮْﺍ ﻭَﻧَﺬَﺭُ ﺍﻟﻈَّﺎﻟِﻤِﻴﻦَ ﻓِﻴﻬَﺎ ﺟِﺜِﻴًّﺎ ﴿٧٢﴾ }
ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﻣﺮﻳﻢ ‏]
Allah Ta3ala Asema: { Hakuna miongoni mwenu ila ni mwenye kuifikia. Ni hukumu ya Mola Wako, ni lazima itimizwe (71) Kisha tutawaokoa wale wenye takua na tutawaacha madhalimu hapo wamepiga magoti(72)} Sadaqa Allah Al3adhim [Mryam].

Lawu ingekuwa munataka haki basi mungeshikilia Almuhakamat zilowazi zilobainika ama hi aya ambao inaonekana dahiri yake moja katika ya mapokezi mukaja mukafanya muqarana katika mapokezi ilofanana na hio aya kwa dhahiri yake na Aya muhakamat Zilio wazi kuhusu hili jambo mutakuja kuona katika haki na batil ikhtilaf kubwa sana katika kauli yake Mola Mlezi,

} ﻭَﻧُﻔِﺦَ ﻓِﻲ ﺍﻟﺼُّﻮﺭِ ﻓَﺼَﻌِﻖَ ﻣَﻦْ ﻓِﻲ ﺍﻟﺴَّﻤَﺎﻭَﺍﺕِ ﻭَﻣَﻦْ ﻓِﻲ ﺍﻟْﺄَﺭْﺽِ ﺇِﻟَّﺎ ﻣَﻦْ ﺷَﺎﺀَ ﺍﻟﻠَّﻪُ ﺛُﻢَّ ﻧُﻔِﺦَ ﻓِﻴﻪِ ﺃُﺧْﺮَﻯٰ ﻓَﺈِﺫَﺍ ﻫُﻢْ ﻗِﻴَﺎﻡٌ ﻳَﻨْﻈُﺮُﻭﻥَ ﴿٦٨﴾ ﻭَﺃَﺷْﺮَﻗَﺖِ ﺍﻟْﺄَﺭْﺽُ ﺑِﻨُﻮﺭِ ﺭَﺑِّﻬَﺎ ﻭَﻭُﺿِﻊَ ﺍﻟْﻜِﺘَﺎﺏُ ﻭَﺟِﻲﺀَ ﺑِﺎﻟﻨَّﺒِﻴِّﻴﻦَ ﻭَﺍﻟﺸُّﻬَﺪَﺍﺀِ ﻭَﻗُﻀِﻲَ ﺑَﻴْﻨَﻬُﻢْ ﺑِﺎﻟْﺤَﻖِّ ﻭَﻫُﻢْ ﻟَﺎ ﻳُﻈْﻠَﻤُﻮﻥَ ﴿٦٩﴾ ﻭَﻭُﻓِّﻴَﺖْ ﻛُﻞُّ ﻧَﻔْﺲٍ ﻣَﺎ ﻋَﻤِﻠَﺖْ ﻭَﻫُﻮَ ﺃَﻋْﻠَﻢُ ﺑِﻤَﺎ ﻳَﻔْﻌَﻠُﻮﻥَ ﴿٧٠﴾ ﻭَﺳِﻴﻖَ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﻛَﻔَﺮُﻭﺍ ﺇِﻟَﻰٰ ﺟَﻬَﻨَّﻢَ ﺯُﻣَﺮًﺍ ﺣَﺘَّﻰٰ ﺇِﺫَﺍ ﺟَﺎﺀُﻭﻫَﺎ ﻓُﺘِﺤَﺖْ ﺃَﺑْﻮَﺍﺑُﻬَﺎ ﻭَﻗَﺎﻝَ ﻟَﻬُﻢْ ﺧَﺰَﻧَﺘُﻬَﺎ ﺃَﻟَﻢْ ﻳَﺄْﺗِﻜُﻢْ ﺭُﺳُﻞٌ ﻣِﻨْﻜُﻢْ ﻳَﺘْﻠُﻮﻥَ ﻋَﻠَﻴْﻜُﻢْ ﺁﻳَﺎﺕِ ﺭَﺑِّﻜُﻢْ ﻭَﻳُﻨْﺬِﺭُﻭﻧَﻜُﻢْ ﻟِﻘَﺎﺀَ ﻳَﻮْﻣِﻜُﻢْ ﻫَٰﺬَﺍ ﻗَﺎﻟُﻮﺍ ﺑَﻠَﻰٰ ﻭَﻟَٰﻜِﻦْ ﺣَﻘَّﺖْ ﻛَﻠِﻤَﺔُ ﺍﻟْﻌَﺬَﺍﺏِ ﻋَﻠَﻰ ﺍﻟْﻜَﺎﻓِﺮِﻳﻦَ ﴿٧١﴾ ﻗِﻴﻞَ ﺍﺩْﺧُﻠُﻮﺍ ﺃَﺑْﻮَﺍﺏَ ﺟَﻬَﻨَّﻢَ ﺧَﺎﻟِﺪِﻳﻦَ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻓَﺒِﺌْﺲَ ﻣَﺜْﻮَﻯ ﺍﻟْﻤُﺘَﻜَﺒِّﺮِﻳﻦَ ﴿٧٢﴾ ﻭَﺳِﻴﻖَ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺍﺗَّﻘَﻮْﺍ ﺭَﺑَّﻬُﻢْ ﺇِﻟَﻰ ﺍﻟْﺠَﻨَّﺔِ ﺯُﻣَﺮًﺍ ﺣَﺘَّﻰٰ ﺇِﺫَﺍ ﺟَﺎﺀُﻭﻫَﺎ ﻭَﻓُﺘِﺤَﺖْ ﺃَﺑْﻮَﺍﺑُﻬَﺎ ﻭَﻗَﺎﻝَ ﻟَﻬُﻢْ ﺧَﺰَﻧَﺘُﻬَﺎ ﺳَﻠَﺎﻡٌ ﻋَﻠَﻴْﻜُﻢْ ﻃِﺒْﺘُﻢْ ﻓَﺎﺩْﺧُﻠُﻮﻫَﺎ ﺧَﺎﻟِﺪِﻳﻦَ ﴿٧٣﴾ ﻭَﻗَﺎﻟُﻮﺍ ﺍﻟْﺤَﻤْﺪُ ﻟِﻠَّﻪِ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﺻَﺪَﻗَﻨَﺎ ﻭَﻋْﺪَﻩُ ﻭَﺃَﻭْﺭَﺛَﻨَﺎ ﺍﻟْﺄَﺭْﺽَ ﻧَﺘَﺒَﻮَّﺃُ ﻣِﻦَ ﺍﻟْﺠَﻨَّﺔِ ﺣَﻴْﺚُ ﻧَﺸَﺎﺀُ ﻓَﻨِﻌْﻢَ ﺃَﺟْﺮُ ﺍﻟْﻌَﺎﻣِﻠِﻴﻦَ ﴿٧٤﴾ ﻭَﺗَﺮَﻯ ﺍﻟْﻤَﻠَﺎﺋِﻜَﺔَ ﺣَﺎﻓِّﻴﻦَ ﻣِﻦْ ﺣَﻮْﻝِ ﺍﻟْﻌَﺮْﺵِ ﻳُﺴَﺒِّﺤُﻮﻥَ ﺑِﺤَﻤْﺪِ ﺭَﺑِّﻬِﻢْ ﻭَﻗُﻀِﻲَ ﺑَﻴْﻨَﻬُﻢْ ﺑِﺎﻟْﺤَﻖِّ ﻭَﻗِﻴﻞَ ﺍﻟْﺤَﻤْﺪُ ﻟِﻠَّﻪِ ﺭَﺏِّ ﺍﻟْﻌَﺎﻟَﻤِﻴﻦَ ﴿٧٥﴾ { ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﺰﻣﺮ ‏]
Allah Ta3ala Asema: { Allah Ta3ala Asema: { Na itapulizwa parapanda, wazimie waliomo mbinguni na waliomo ardhini, ila ambaye Mwenyezi Mungu amemtaka. Kisha itapulizwa mara nyengine. Hapo watainuka wawe wanangojea (68) Na ardhi itang’ara kwa Nuru ya Mola Wake, na Kitabu kitawekwa, Na wataletwa Manabii na mashahidi, na patahukumiwa baina yao kwa haki, wala hawatadhulumiwa (68) Na ardhi itang’ara kwa Nuru ya Mola Wake, na Kitabu kitawekwa, Na wataletwa Manabii na mashahidi, na patahukumiwa baina yao kwa haki, wala hawatadhulumiwa (69) Na kila nafsi italipwa kwa yale iliyoyafanya, na Yeye anayajua sana wanayoyatenda (70) Wakaendeshwa Wale Ambao Wamekufuru Kulekea Jahanam Mapote Mpaka Wakifikia Yanafunguliwa Milango yake wakawambia wao walinzi wake hivi hawakujieni Mitume Kutokana na Nyinyi Wanawasomeini Ma Aya Za Mola Mlezi Wenu na Kuwaonya magno ya Siku Yenu Hi Wakasema Ndio Lakini imestahiki Neno la Adhabu juu ya Makafiri (71) Itasemwa: Ingieni milango ya Jahannamu mdumu humo. Basi ni ubaya ulioje wa makazi ya wanaotakabari (72) Na waliomcha Mola Wao watapelekwa Peponi kwa makundi, mpaka watakapoifikia, nayo milango yake imekwishafunguliwa, walinzi wake watawaambia: Salaamun Alaikum, Mmekuwa wema. Basi ingieni humu mkae milele (73) Na watasema: Alhamdulillahi kwa aliyetutimizia ahadi Yake, na akaturithisha ardhi, tunakaa katika Bustani popote tupendapo. Basi ni malipo mazuri yaliyoje ya watendao 74) Na utawaona Malaika wakizunguka pembeni mwa Arshi ya Mwenyezi Mungu, wakimsabihi na kumsifu Mola Wao. Na patahukumiwa baina yao kwa haki na patasemwa: Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, Mola wa viumbe vyote (75)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzzumur].

Na hio ndio hio aya Almuhakama ambao inao maelezo ya kweli ya haki kuhusu hilo jambo,alfu tunarudi kutowa taawil kwa hio aya Almutashabiha zilofanana pamoja na hadithi ya fitna katika mapokezi yalo batil kuhusu sirat Almustaqim kuwa iko kwa moto wa jahanam uzushi na urongo na upotofu ulo kuwa mkubwa mno ju ya Allah na rasul Allah saw,
Ama wale katika moyo zao kuna zaigh ukanushi wanafwata yale yalo fanana katika hadithi za fitna kutaka taawil Alquran ,lakini kwa moyo wake ako na zaigh ukanushi wa haki ilio wazi iliobainika ambao amitupa nyuma ya mgongo wake akafwata hi aya sababu ina fanana na hadithi ya fitna ambao alkuwa anadai kuwa yatoka kwa rasul Allah saw,

Kwasababu mm ni kati walokuwa na ilmu katika yale alonifundiaha mola wangu mlezi nitawleteni taawili ya haki na kauli ilofupishwa na faida katika kauli yake mola mlezi,
ﻘﻮﻟﻪ ﺗﻌﺎﻟﻰ :

{ ﻭَﺇِﻥْ ﻣِﻨْﻜُﻢْ ﺇِﻟَّﺎ ﻭَﺍﺭِﺩُﻫَﺎ ﻛَﺎﻥَ ﻋَﻠَﻰٰ ﺭَﺑِّﻚَ ﺣَﺘْﻤًﺎ ﻣَﻘْﻀِﻴًّﺎ ﴿٧١﴾ ﺛُﻢَّ ﻧُﻨَﺠِّﻲ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﺍﺗَّﻘَﻮْﺍ ﻭَﻧَﺬَﺭُ ﺍﻟﻈَّﺎﻟِﻤِﻴﻦَ ﻓِﻴﻬَﺎ ﺟِﺜِﻴًّﺎ ﴿٧٢﴾ }
ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﻣﺮﻳم]
Allah Ta3ala Asema: { Hakuna miongoni mwenu ila ni mwenye kuifikia. Ni hukumu ya Mola Wako, ni lazima itimizwe (71) Kisha tutawaokoa wale wenye takua na tutawaacha madhalimu hapo wamepiga magoti(72)} Sadaqa Allah Al3adhim [Mryam].

Kusema wurud sio kusudio katika hili jambo nikuwa kupita bali nikufika katika uwanja wa jahanam watu wote wataona mbele yao mwema na muovu kwenye uwanja wa jahanam kwakusadhiksha kauli ya Allah,

{ ﻟَﺘَﺮَﻭُﻥَّ ﺍﻟْﺠَﺤِﻴﻢَ ﴿٦﴾ ﺛُﻢَّ ﻟَﺘَﺮَﻭُﻧَّﻬَﺎ ﻋَﻴْﻦَ ﺍﻟْﻴَﻘِﻴﻦِ ﴿٧﴾ }

ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﺘﻜﺎﺛﺮ ‏
Allah Ta3ala Asema: {Hakika mutaona Jahim (6) Alafu Mutaiona Kwa Jicho la Yakin (7)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altakathur].

Na manake neno la wurud ni kufika katika uwanja wa moto kama alivo fika musa katika maji ya madyan walama warda musa maa madyan na alipo fika musa maji ya madyan lakini hakuingia ndani ya maji bali amifika katika uwanja maji yako hapo,na hapo penye maji akaona watu wanapeana maji,akasema mola mlezi,
{ ﻭَﻟَﻤَّﺎ ﻭَﺭَﺩَ ﻣَﺎﺀَ ﻣَﺪْﻳَﻦَ ﻭَﺟَﺪَ ﻋَﻠَﻴْﻪِ ﺃُﻣَّﺔً ﻣِﻦَ ﺍﻟﻨَّﺎﺱِ ﻳَﺴْﻘُﻮﻥَ ﻭَﻭَﺟَﺪَ ﻣِﻦْ ﺩُﻭﻧِﻬِﻢُ ﺍﻣْﺮَﺃَﺗَﻴْﻦِ ﺗَﺬُﻭﺩَﺍﻥِ ﻗَﺎﻝَ ﻣَﺎ ﺧَﻄْﺒُﻜُﻤَﺎ ﻗَﺎﻟَﺘَﺎ ﻟَﺎ ﻧَﺴْﻘِﻲ ﺣَﺘَّﻰٰ ﻳُﺼْﺪِﺭَ ﺍﻟﺮِّﻋَﺎﺀُ ﻭَﺃَﺑُﻮﻧَﺎ ﺷَﻴْﺦٌ ﻛَﺒِﻴﺮٌ} ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﻘﺼﺺ : ٢٣]
Allah Ta3ala Asema; { Alipoyafikia maji ya Madyana alikuta umati wa watu wakinywesha (wanyama wao), na akakuta nyuma yao wanawake wawili wanazuia (wanyama wao). Akasema: Mna nini? Wakasema: Hatunyweshi mpaka wamalize hao wachunga na baba yetu ni mzee sana} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas 23].

Na hi sio kipimo bali ili mufahamu ukweli wa neno la wurud kufika ambalo limkusudiwa katika moto wa jahanam sio kupita bali kufika katika kiwanja wa jahanam kwajili waone watu wema na watu waovu waone kwa macho yao jicho la uhakika, kusadikisha Allah .
{ ﻟَﺘَﺮَﻭُﻥَّ ﺍﻟْﺠَﺤِﻴﻢَ ﴿٦﴾ ﺛُﻢَّ ﻟَﺘَﺮَﻭُﻧَّﻬَﺎ ﻋَﻴْﻦَ ﺍﻟْﻴَﻘِﻴﻦِ ﴿٧﴾ { ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﺘﻜﺎﺛﺮ ‏] ، ﻭﺗﺼﺪﻳﻘﺎً ﻟﻘﻮﻝ ﺍﻟﻠﻪ ﻋﺰ ﻭﺟﻞ : } ﻭَﺑُﺮِّﺯَﺕِ ﺍﻟْﺠَﺤِﻴﻢُ ﻟِﻤَﻦْ ﻳَﺮَﻯٰ {
ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﻨﺎﺯﻋﺎﺕ : ٣٦

Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Mutona Jahim (6) Alafu Mutaiona Kwa Jicho la Yakini (7)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnazi3at].

Burizat yani itadhihirika mbele ya watu wote waone yule anae macho lakini Allah hakuwaonesha watu wema moto ili waingie ama wapite ju yake bali waone uhakika ili wapate kushukuru mola wao kuwaepusha na moto ulo mkali mnu hatofika kwa moto ila alopotea na hawana watu wema njia yoyote yakuingia ama kupita ju yake bali amidhirisha Allah kwa wale walopote pekeyake,ama kwa kuona wataona mwislamu na kafiri,na itadhohirishwa kwa walopotea pekeyake kwa kusadikisha kauli ya Allah.. } ﻭَﺑُﺮِّﺯَﺕِ ﺍﻟْﺠَﺤِﻴﻢُ ﻟِﻠْﻐَﺎﻭِﻳﻦَ { ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﺸﻌﺮﺍﺀ : ٩١
Allah Ta3ala Asema: { Na ikadhirishwa Jahim Kwa wanao oteza} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'shuara :91].

Na hakufanya sirat ya jannah na sirat ya jahanam moja bali njia ya moto mbali na njia ya pepo mbali,akasema mola mlezi
ﺍﺣْﺸُﺮُﻭﺍ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﻇَﻠَﻤُﻮﺍ ﻭَﺃَﺯْﻭَﺍﺟَﻬُﻢْ ﻭَﻣَﺎ ﻛَﺎﻧُﻮﺍ ﻳَﻌْﺒُﺪُﻭﻥَ ﴿٢٢﴾ ﻣِﻦْ ﺩُﻭﻥِ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻓَﺎﻫْﺪُﻭﻫُﻢْ ﺇِﻟَﻰٰ ﺻِﺮَﺍﻁِ ﺍﻟْﺠَﺤِﻴﻢِ ﴿٢٣﴾ { ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﺼﺎﻓﺎﺕ

Allah Ta3ala Asema:{ Wakusanyeni waliodhulumu, na wenzao, na hao waliokuwa wakiwaabudu (22) Badala ya Mwenyezi Mungu. Waongozeni njia ya Jahannamu (23)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsaafat].

Lakini nyinyi enye wanazuoni mulifanya sirat ya jahn hio hio sirat ya na3im vipi mbona mwahukumu hivo na bado tunayo mengi mengi ya kuonesha kuhusu hilo jambo tumiziweka kwajili wale wanao jileta wapotofu tuwachape kwa haki kichapo .

Vipi mutafanya nji ilio nyoka inapeleka kwa moto wa jahanam njia ya wale walo potea na waloghadhibiwa?hamusemi katika kila sawala ihdina sirat Almusaqim sirat Aladhina an3amta 3aleyhim gheyri Almaghdubi 3aleyhim wala dhalin lakini mukamini njia ni moja inafikisha kwa moto wa jahanam na nyinyi ni warongo vipi mtafanya njia ya haki na njia ya batil moja yapeleka kwa moto wa jahana hamuwezi kuwa na Akili,Allah yuwaokowa walokuwa wema hawendeshwi kwa njia ya jahanam balie wanaendwshwa kwa njia ya pepo njia ya jahanam hawapelekwi ila watu wa motoni Ambao wataingia humo ndani milele , Kusadikisha Qauli Ya Allah Ta3ala:

} ﺍﺣْﺸُﺮُﻭﺍ ﺍﻟَّﺬِﻳﻦَ ﻇَﻠَﻤُﻮﺍ ﻭَﺃَﺯْﻭَﺍﺟَﻬُﻢْ ﻭَﻣَﺎ ﻛَﺎﻧُﻮﺍ ﻳَﻌْﺒُﺪُﻭﻥَ ﴿٢٢﴾ ﻣِﻦْ ﺩُﻭﻥِ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﻓَﺎﻫْﺪُﻭﻫُﻢْ ﺇِﻟَﻰٰ ﺻِﺮَﺍﻁِ ﺍﻟْﺠَﺤِﻴﻢِ ﴿٢٣﴾ {

ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﺍﻟﺼﺎﻓﺎﺕ ‏]
Allah Ta3ala Asema:{ Wakusanyeni waliodhulumu, na wenzao, na hao waliokuwa wakiwaabudu (22) Badala ya Mwenyezi Mungu. Waongozeni njia ya Jahannamu (23)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsaafat].

Alafu wanatupwa kila moja wao na malaika wawili (raqib) na (3atid) wanamchukuwa mpaka kwa mlango wa moto alafu wanamtupa ndani kama tulivo eleza mwanzo kwa kauli yake mumba,Katika kauli Yake Allah Ta3ala:

} ﺃَﻟْﻘِﻴَﺎ ﻓِﻲ ﺟَﻬَﻨَّﻢَ ﻛُﻞَّ ﻛَﻔَّﺎﺭٍ ﻋَﻨِﻴﺪٍ ﴿٢٤﴾ ﻣَﻨَّﺎﻉٍ ﻟِﻠْﺨَﻴْﺮِ ﻣُﻌْﺘَﺪٍ ﻣُﺮِﻳﺐٍ ﴿٢٥﴾ ﺍﻟَّﺬِﻱ ﺟَﻌَﻞَ ﻣَﻊَ ﺍﻟﻠَّﻪِ ﺇِﻟَٰﻬًﺎ ﺁﺧَﺮَ ﻓَﺄَﻟْﻘِﻴَﺎﻩُ ﻓِﻲ ﺍﻟْﻌَﺬَﺍﺏِ ﺍﻟﺸَّﺪِﻳﺪِ ﴿٢٦﴾ {
ﺻﺪﻕ ﺍﻟﻠﻪ ﺍﻟﻌﻈﻴﻢ ‏[ ﻕ ‏]
Allah Ta3ala Asema:{ Mtupeni katika Jahannamu kila kafiri mwenye inadi (24) Azuiaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutia shaka (25) Ambaye amemfanya mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu. Basi mtupeni katika adhabu kali (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Qaaf].

Ama zilo fanana basi nitawatafsiria vizuri kuliko nyinyi na bora na taawil ilo bora na nije na utawala kutokana na dhati ya Alquran mpaka pindi mukikadhibisha basi mutakuwa munakadhibisha ayat za Allah katika kitabu chake ndipo ahukumu kati yetu Mola Mlezi na yeye ni mwenye wepesi wakufanya hisabu.
ﻭﺳﻼﻡٌ ﻋﻠﻰ ﺍﻟﻤﺮﺳﻠﻴﻦ، ﻭﺍﻟﺤﻤﺪُ ﻟﻠﻪ ﺭﺏّ ﺍﻟﻌﺎﻟﻤﻴن

Ewe 7habib Al7habib ambae una dai kuwa pindi ukileta jina la Almahdi ndani ya Alquran alfu wasema: jee utanifwata ?
Alafu nakujibu nasema ewe 7habib Al7habi hata ukaniletea jina la 7habib Al7habi wazi ndani ya Al'Quran sitokufwata Na wajuwa kwa nini? sababu Allah hajafanya jina ndio hoja bali kwa ilimu, na Allah hajakupa ilimu bali wahojiana na mimi kwa dhana ambao haizidishi kwa haki kitu, ama kwa jina basi hajfanya Allah ndani yake utawala ewe 7habib Al7habib, kwajili ujuwe wewe na wenzako ewe 7habib Al7abib kuwa Allah hakukujalia Utawala kwa jina bali ni kwa utawala Wa ilimu kwa jili ya hio amisema:

{وَمُبَشِّرًا بِرَسُولٍ يَأْتِي مِنْ بَعْدِي اسْمُهُ أَحْمَدُ}
صدق الله العظيم [الصف:6
{ Na Wabashiria Kwa Mtume Atakuja Ba'ada Yangu jina Lake Ahmad} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsaf:6].

Lakini jina limikuja ni (Muhmmad) Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam,
Ili mujuwe kuwa ufafanuzi na burhan sio kwa jina bali ni kwa ilmu , na shuhudia kuwa Muhammad Mtume wa Allah ndio huyo huyo Ahamad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi Wa Salam katika (Alawuh'Alma7hfudh),
Unataka nifanye hoja kwa watu wa batil ju ya Babu yangu?
Najilinda kwa Mola Mlezi wangu niwe katika wale wanajadili mambo ya Allah bila ilimu na uongofu wala kitabu kinao nawiri niongoze kwa kitabu watu kwa njia ilonyoka.

Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Haki -(Al'Nasser Li'Muhammaden) Munusura Wa Muhammad Mtume Wa Allah Na Al'Quran Al3adhim
المهديّ المنتظَر الحقّ الناصر لمحمدٍ رسول الله والقرآن العظيم؛ الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ

Imionekana kwenu haki sio kama munavo dai anatembea kafiri na mwenye iman katika njia ya unyele ile ambao mwadai ukali wa wembe yule atake pita amiokoka na yule atakae anguka atanguka katika moto wa jahanam basi hatujaona uzushi hu na upotofu katika Utawala wa Al'Quran, basi yoyote anae pinga hizi aya muhakamat zilobainika wazi basi aje tunamkaribisha kwa mazungumzo.
Alimam Nasser Muhammad Al'Yamani.




۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=3859