{ وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا }
صــدق الله العظيــــــــــــــم ..

{ Na atakae kumua mumini kusudi basi malipo yake ni jahanam milele ndani yake na ameghadhibika Allah juu yake na amemlani na amemwandalia yeye adhabu kuu }
Sadaqa Allah Al3adhim

- 1 -
Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
19 - 03 - 1436 هـ
10 - 01 - 2015 مـ
05:05 صباحاً
ــــــــــــــــــ

[ عاجــــــل ]
{ وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا }
صــدق الله العظيــــــــــــــم ..
[ Hivi Punde ]
{ Na atakae kumua mumini kusudi basi malipo yake ni jahanam milele ndani yake na ameghadhibika Allah juu yake na amemlani na amemwandalia yeye adhabu kuu }
Sadaqa Allah Al3adhim

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim Na Sala Na Salam Ju ya wote ma Nabi na Mitume kutoka wa mwanzo wao mpaka khatimu wao Muhammad Mtume wa Allah Na Ali zao na walio wafwata ma Nabi wa Alalh na Mitume wake na ma imamu wa kitabu katika wa mwanzo na katika wa mwisho katika kila zama na mahali mpaka siku ya dini, Ama baada ya hapo..

Na enyi ma3ashara ya waislamu katika mashariki ya ardhi na magharibi yake, Hakika Mimi ni Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani nawapa fatwa kwa haki bila ya dhulma kwamba mulani wahalifu wale ambao wako nyuma ya milipuko ambao ya mawaji ya wanafunzi ma bari wasio na hatia katika barabara ya chuo cha polisi kwenye mji mku wa Yemen Sanaa kwakua hio ni uhalifu katika uhalifu mkuu kupitia tarehe na zama zote, Basi wahalifu wameua zaidi ya arbaini walio uliwa na kuwafanya kilema sabini baina alio vungika migu na alio vungika mikono na alio poteza macho na tarafu zake basi uhalifu mkuu mno hakuna kama huo ni katika uhalifu mkuu kwa wahalifu kupitia ma zama zote! Pindi hakuna sababu yoyote ya kuwauwa wanafunzi wanataka kujiandikisha kwenye chuo cha polisi kutoka Vitongoji tafauti ya watu wa Yemen.

Fa Wallahi Thuma Wallahi hakika ya Al’Imam Al’Mahdi yuko katika mshangao mkubwa kwa yale yalio tokea kwenye barabara ya chuo cha polisi kwenye mji mkuu wa Yemen Sanaa; Kwajili hapana budi kwa wahalifu wauwaji na kwa kupita zama zote iwe kuna sababu wnajipa hoja nayo kufanya kitendo cha uhalifu, Na Suali ambalo lajiweka lenyewe Basi nini hio sababu ambao wataenda kujipa hoja wahalifu kutokezea kwao kwa ku’uwa wanafunzi hawana hatia kwakua wao ni kutoka sehemu tafauti katika miji na vitongoji ya watu wa Yemen hawajuwani badhi yao juu ya badhi na wamemaliza chuo High School na amekuja kila moja wao anataka kujaribu bahati yake katika kuandikisha kwenye chuo cha polisi huwenda ikatimu kukubaliwa, Na wengi wao warudi manyumbani kwao ila yule amabae anao wasta influence, Na ala kuli hali basi kwa haki gani wameamua wahalifu kuwauwa? Basi nini hio sababu enye kaum? Na nani nyuma yake? Na nasikia watu wengi wanalekeza kidole kwa kundi la Al’Qaida Lakini sidhani kwamba kundi la Al’qaida kwakua kundi la alqaida hawana budi wao wanajipa hoja katia sababu za milipuko hapa na pale wala hawafanyi kitu iala wanatanguliza sababu yao kwenye mtazamo wao. Na ala kuli hali mtuhumiwa huwa ahisabika hana hatia mpaka ithibitike tuhuma ju yake kwa ushuhuda ulio baini basi haijuzu kulekeza kidole kwa kundi la alqaida mpaka ithubutu kwa ushuhuda ulio baini bila ya dhulma, Na kama tulivo sema kwamba hakika ya kundi la alqaida halitekelezi milipuko ila wana sababu kulingana na wanavo itakidi, Lakini hi uhalifu mkuu ambao tunakanusha hatopata alio itenda sababu yoyote kwa tendo lake mbele ya Allah na viumbe vake, Basi ni uhalifu ambao umemshamgaza Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani basi ikanifanya kwenye mshangao na mshtuko mkubwa sana kwa idadi ya masiku kwa yale yalio tokea! Basi na kwanini imetokea kama hu uhalifu na nani nyuma yake? Alaa lana ya Allah juu ya alio tenda uhalifu muovu huo na lana ya Allah ju ya walio ridhika na uhalifu huo lana kuu kiyasi ya kupokezana usiku na mchana mpaka siku ya mwisho, Na nimetardhilia kwa Mola Mlezi wangu kwa haki ya La Ilaha ila Huwa Na Kwa Haki Ya Rahma Yake Ambao ameiandika juu ya Nafsi yake na kwa haki ya Uwadhimu wa Neema Ya Ridhwan ya Nafsi Yake kwamba awafedhehe wale wako nyuma ya hi uhalifu juu ya masikizi ya watu wote ili walaniwe wale walio tenda uhalifu hu na watu wa ulimwengu mzima mwislamu wao na kafiri.

Na kama tulivo sema enyi ma3ashara ya waislamu hakika ya kila katili sababu anajipa hoja nayo kwa kuamua kutenda ju ya kuwa sawa sababu ilikua ni haki ama batili, Na ama uhalifu ambao umetendeka katiak mji mku wa Yemen Sanaa kwnye barabara ya chuo cha polisi basi nini sababu ambao imemfanya muhalifu kulipua watu hawana hatia hawako kwenye chama cha kisiasa wala kwenye chama cha kimadh’hebu wala munatiqi; Bali ni kutoka makabila mbali mbali na sehemu na madh’hebu mbali mbali na wala hawajuwani badhi yao ju ya badhi, Basi nini udhuru ya hawa wahalifu wale ambao wametekeleza mauwaji ya hawa wanafunzi na wakati wao ni kutoka sehemu tafauti ya jumhuria ya Yemen? Hivi hawastahiki hawa wahalifu walio tenda hayo kwamba Wawalani ma khatibu wa ma mimbari wa waislamu katika kila juma alafu wasmame wawalani walio hudhuria juma wote kwa ulimi moja nyuma ya khatibu huwenda hivo ikapunguza kutenda kama hivi vitendo ambazo ni viovu mno na vi kubwa.

Basi Wallahi lau nigesema kwamba hafanyi hivi ila kafiri kwahivo nigedhulumu makafiri katika kuhukumu kwakua hapana wala hatofanya kafiri kwajili ikiwa hakuna kwa kafiri vikwazo va kidini basi anayo vikwazo va kibinadamu, Lakini wahalifu ambao wako nyuma ya huo uhalifu sio katika waislamu wala katika makafiri; Bali ni katika mashetani watu walio ghadhibiwa juu yao hawana utu na vikwazo va kidini wala za kibinadamu wamelaniwa popote watakpo patika wanachukuliwa wakauliwa kuliwa, Basi haijuzu kwa waislamu wa Yemeni kwamba wawa’ache wenye uhalifu huo kubaki katika maisha katikati ya raia wa Yemen ambao waumini, Na bado serekali ya Yemen wanaendelea kufanya uchunguzi ili kujuwa wale ambao wame shirikia kwenye uhalifu huo ambao ni muovu mno na ni mkubwa ambao wanakata nayo wa Yemeni watukufu Ambao ni warabu na wanaikanusha mujtama yote ya kibinadamu.

Na Ala kuli hal Nawapa Fatwa Waislamu Ma Yamani Serekali na Raia Kwa Haki Baada Kuchunguza Nyuma Ya Uhalifu huo Ambao ni muovu mno kwamba :

Ismamishwe Juu yao Hadi Ya Allah Kwa Kusulubiwa Basi Vinakatwa vichwa vao Na itimu kuitenga kutokana na miyili yao, Basi Alafu itimu kuanikwa vichwa vao kwenye moja ya ma barabara ili iwe funzo, Na itimu kuzika miyili yao Moja kwa moja baada kutenganisha vichwa vao kutokana na miyili yao ispokua inatimu kusulubiwa kwa kukatwa kichwa alafu kuiangika katika moja ya mabarabara kwajili ya mawaidha na funzo, Na hio kutangaza nawachunguzia kwenu kutoka kwa muhakam ilio wazi kitabu cha Allah, Kukata kichwa cha muwaji Dhulma ya mfisadi katika ardhi na kuangika kichwa chake kutangaza uhalifu wake na kuzika mwili wake. Na nachunguza hukmu kutokana na bayana ya haki kwenye kauli ya Allah Ta3ala:

{وَأَمَّا الْآخَرُ فَيُصْلَبُ فَتَأْكُلُ الطَّيْرُ مِن رَّأْسِهِ قُضِيَ الْأَمْرُ الَّذِي فِيهِ تَسْتَفْتِيَانِ (41)} صدق الله العظيم [يوسف].
Allah Ta3ala Asema:
{Na ama mwengine atasulubiwa, na ndege watamla kichwa chake. Imekwisha katwa hukumu ya hilo jambo mlilo kuwa mkiuliza (41)}
Sadaqa Allah Al3adhim
[Yusuf].

Basi hio ndio hukmu ya Allah kwa muwaji kusudi na dhulma kama mfano wa yule mfungwa ambae amemonesha Allah juu ya kichwa chake mkate wanakula ndege hapo, Akajua Nabi wa Allah Yusuf juu yake Sala na salam kupitia kuona kwa huyo mwanamume kwamba yeye ameua kusudi na kwamba hukmu ya Allah ya haki itampata kwakua uchunguzi ilikua bado inaendelea baada kufanyika uhalifu, na ikatimu kufungwa wawili walikua wametuhumiwa kwa ku’ua na ikathibiti juu ya moja wao kwamba hana hatia na akarudi kumhudumia mfalme baada kuhukumiwa kwamba hana hatia na ama yule mwengine basi imebainika kwa mahakama kwamba yeye ameua kusudi kwa dhulma na ikatimu kutekelezwa hukmu ya Allah juu yake kwa kusulubuiwa na kutangazwa, Na akajua hayo Nabi wa Allah Yusuf kupitia kuona ndoto huyo mwanamume, Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:

{وَأَمَّا الْآخَرُ فَيُصْلَبُ فَتَأْكُلُ الطَّيْرُ مِن رَّأْسِهِ قُضِيَ الْأَمْرُ الَّذِي فِيهِ تَسْتَفْتِيَانِ (41)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:
{Na ama mwengine atasulubiwa, na ndege watamla kichwa chake. Imekwisha katwa hukumu ya hilo jambo mlilo kuwa mkiuliza (41)}
Sadaqa Allah Al3alamin.

Allahuma lani wahalifu lana kuu wale wanamwaga damu ya wasio na hatia na wao wajua kwamba watakau kuwaua walikua hawana hatia kwajili ya hivo amemlani Allah muwaji kwa dhulma, Na Sababu Ya kuwalani wao kwakua wanajua kwamba alio’uliwa hana hatia kabla hajamua basi hawo wamesubutu kwa kumghadhibisha Allah Na lana yake, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا} صدق الله العظيم.
{ Na atakae kumua mumini kusudi basi malipo yake ni jahanam milele ndani yake na ameghadhibika Allah juu yake na amemlani na amemwandalia yeye adhabu kuu }
Sadaqa Allah Al3adhim

{وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا} صدق الله العظيم.
{ Na atakae kumua mumini kusudi basi malipo yake ni jahanam milele ndani yake na ameghadhibika Allah juu yake na amemlani na amemwandalia yeye adhabu kuu }
Sadaqa Allah Al3adhim

{وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا} صدق الله العظيم.
[النساء:93].

{Na atakae kumua mumini kusudi basi malipo yake ni jahanam milele ndani yake na ameghadhibika Allah juu yake na amemlani na amemwandalia yeye adhabu kuu }
Sadaqa Allah Al3adhim
[Alnisaa:93].

Kama baadhi ya makabila ya kiyemeni hawakatazani maovu wameyafanya, Basi vipi kwamba badhi yao kwa sababu ya kupatikana thari ya kikabila wanamua asie muaji na wanaona kwamba wao wameongoka! Basi ooo huo uhalifu inatingishika nayo Arshi ya Al’Rahman kwa sababu ya ku’ua nafsi bila ya nafsi, Na nani amewapa fatwa wao ku’ua nafsi bila ya nafsi ili watabikishwe msemo wa “ alshetan alrajim” ukimpata alio uwa ama mtoto wa ami yake! Basi wako wapi wanazuoni wa Yemen hawatowe fatwa inategemewa ambao itakua ni ya ma kabila yote ya wa Yemeni kwamba hakika yule atakae uwa nafsi bila ya nafsi basi dhambi lake hilo kwa Allah ni adhimu ni kama kwamba umeuwa watu wote kutoka Adam Mpaka mzaliwa wa mwisho kutokana na kizazi chake kabla kusmama Saa, Na hivo hivo atakae kumua kafiri kwa hoja ya ukafiri wake basi hakika juu yake lana ya Allah na malaika wake na watu wote kwakua yule mwenye ku’ua nafsi bila ya nafsi iwe sawa alio uliwa hana hatia awe ni mwislamu ama kafiri basi dhambi yake kwa Allah kama kwamba ameua kizazi cha binadamu Wote, Na hawo Wahalifu wanao mpiga vita Allah na Mtume wake kwakua wao wafisidifu kwenye ardhi wanamwaga damu ya watu bila ya haki, Na amehukumu Allah kuhusu wao kwa haki kila moja wao kulingana na tendo lake. Kusadikisha Kuli Ya Allah Ta3ala:
{أَنَّهُ مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا ۚ وَلَقَدْ جَاءَتْهُمْ رُسُلُنَا بِالْبَيِّنَاتِ ثُمَّ إِنَّ كَثِيرًا مِّنْهُم بَعْدَ ذَٰلِكَ فِي الْأَرْضِ لَمُسْرِفُونَ (32) إِنَّمَا جَزَاءُ الَّذِينَ يُحَارِبُونَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا أَن يُقَتَّلُوا أَوْ يُصَلَّبُوا أَوْ تُقَطَّعَ أَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُم مِّنْ خِلَافٍ أَوْ يُنفَوْا مِنَ الْأَرْضِ ۚ ذَٰلِكَ لَهُمْ خِزْيٌ فِي الدُّنْيَا ۖ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ (33)} صدق الله العظيم [المائدة].
Allah Ta3ala Asema:
{Ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi (32) Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa (33)}
Sadaqa Allah Al3adhim
[Almaida].

Na Wala hamtuhumu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani mtu haswa mpaka sasa wala sijuwi alie nyuma ya hio uhalifu muovu mno, Lakini mimi nimehukumu juu ya kitendo chao kwa hukmu ya Allah juu yao kwa haki bila ya dhulma.

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu yenu; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
___________

Kumbukumbu Muhimu kwa wote ma Anssar Wanao balighisha Kwa ulimwengu:
nawamuru kunushuru kuisambaza hi bayana kwa njia pana kwa kila namna na njia vile mutakavo weza. Ewe Allah Nimebalighisha Allahuma Shuhudia.


اقتباس المشاركة 172476 من موضوع عاجـل: {وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا}

- 1 -
[ لمتابعة رابط المشـــاركة الأصلية للبيـــان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=172468

الإمام ناصر محمد اليماني
19 - 03 - 1436 هـ
10 - 01 - 2015 مـ
05:05 صباحاً
ــــــــــــــــــ


[ عاجــــــل ]
{ وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا }
صــدق الله العظيــــــــــــــم ..


بسم الله الرحمن الرحيم والصلاة والسلام على كافة الأنبياء والمرسلين من أوّلهم إلى خاتمهم محمد رسول الله وآلهم ومن تبع أنبياء الله ورسله وأئمة الكتاب في الأوّلين وفي الآخرين في كلّ زمانٍ ومكانٍ إلى يوم الدين، أمّا بعد..

ويا معشر المسلمين في مشارق الأرض ومغاربها، إنّني الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني أفتيكم بالحقّ من غير ظلمٍ أن تلعنوا المجرمين الذين كانوا من وراء التفجير لقتل الطلبة الأبرياء في شارع كلية الشرطة بالعاصمة اليمنيّة صنعاء كونها جريمة من أكبر الجرائم عبر التاريخ على مرّ العصور، فالمجرمون قاموا بقتل ما يزيد عن أربعين قتيلاً وتشويه سبعين ما بين مبتور الأقدام ومبتور الأيادي وفاقد البصر والأطراف فما أعظمها من جريمةٍ من أكبر جرائم المجرمين على مرّ العصور! إذ لا يوجد أي مبررٍ لقتل طلبةٍ يريدون التسجيل في كلية الشرطة من مختلف قرى أهل اليمن.

فوالله ثم والله إنّ الإمام المهديّ لفي حيرةٍ كبرى مما حدث في شارع كلية الشرطة بالعاصمة اليمنيّة صنعاء؛ لأنّه لا بدّ للمجرمين القتلة وعلى مرّ العصور من وجود سببٍ يتحجّجون به للإقدام على ارتكاب الجريمة. والسؤال الذي يطرح نفسه فما هو السبب الذي سوف يتحجّج به المجرمون لإقدامهم على قتل هؤلاء الطلبة الأبرياء كونهم من مختلف قرى أهل اليمن لا يعرف بعضهم بعضاً وقد أكملوا الثانوية العامة وجاء كلٌّ منهم يريد أن يجرّب حظه في التسجيل في كلية الشرطة علّ قبوله يتمّ، وأكثرهم يعودون إلى بيوتهم إلا من كانت لديه وساطة. وعلى كلّ حالٍ فبأي حقٍّ أقدم المجرمون على قتلهم؟ فما هو السبب يا قوم؟ ومَنْ وراء ذلك؟ وأسمع كثيراً من الناس يسندون هذه الجريمة النكراء إلى تنظيم القاعدة وحقيقةً لا أظنّهم تنظيم القاعدة كون تنظيم القاعدة لا بدّ لهم أن يتحجّجوا بأسبابٍ للتفجيرات هنا وهناك ولا يقدموا على شيء إلا بوجود مبررٍ لهم في نظرهم. وعلى كلّ حالٍ المتهم بريءٌ حتى تثبت إدانته بالبرهان المبين فلا يجوز إسنادها إلى تنظيم القاعدة حتى تثبت إدانتهم بالبرهان المبين من غير ظلمٍ، وكما قلنا إنّ تنظيم القاعدة لا يقدم على التفجيرات إلا مع وجود المبررات حسب اعتقادهم، ولكن هذه الجريمة النكراء الكبرى لن يجد فاعلها أي مبررٍ لفعلته أمام الله وخلقه، فيا لها من جريمةٍ حيرت الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني فجعلتني في حيرةٍ وذهولٍ شديدٍ لعدّة أيامٍ مما حدث! ولماذا حدثت مثل هذه الجريمة ومن وراءها؟ ألا لعنة الله على فاعل تلك الجريمة النكراء ولعنة الله على الراضين بذلك الفعل لعناً كبيراً ما تعاقب الليل والنهار إلى اليوم الآخر. ورجوتُ من ربّي بحقّ لا إله إلا هو وبحقّ رحمته التي كتب على نفسه وبحقّ عظيم نعيم رضوان نفسه أن يفضح مَنْ وراء تلك الجريمة على مسامع كافة البشر حتى يلعن أصحاب تلك الجريمة كافة البشر مسلمهم والكافر.

وكما قلنا يا معشر المسلمين إنّ لكلّ قاتلٍ سبباً يتحجّج به للإقدام على القتل سواء كان سبب حقٍّ أم باطلٍ، وأمّا الجريمة التي حدثت في العاصمة اليمنيّة صنعاء في شارع كلية الشرطة فما السبب الذي دفع المجرم إلى التفجير لقتل أناسٍ أبرياء فلا ينتمون إلى حزبٍ سياسيٍّ ولا إلى حزبٍ مذهبيٍّ ولا مناطقيّ؛ بل من مختلف الفئات والقبائل والمذاهب والأحزاب والمناطق ولا يعرف بعضهم بعضاً، فما هو عذر المجرمين الذين أقدموا على قتل هؤلاء الطلبة وهم من مختلف محافظات الجمهوريّة اليمنيّة؟ ألا يستحق المجرمون الذين فعلوا ذلك أن يلعنهم خطباء منابر المسلمين في كل جمعةٍ فمن ثمّ يقوم بلعنهم حاضرو الجمعة أجمعون بلسانٍ واحدٍ من وراء الخطيب لعلّ ذلك يخفف من فعل هذه الجرائم النكراء والكبرى.

فوالله لو أقول أنّه لا يفعلها إلا كافرٌ إذاً لظلمت الكافرين في الحكم كونه لا ولن يفعلها كافرٌ لأنّه إن لم يوجد لدى الكافر وازعٌ دينيّ فلديه وازع الإنسانيّة، ولكنّ المجرمين الذين وراء تلك الجريمة ليسوا من المسلمين ولا من الكافرين؛ بل من شياطين البشر المغضوب عليهم معدومي الضمير والوازع الديني والإنساني ملعونين أينما ثقفوا أخذوا وقتّلوا تقتيلاً، فلا يجوز للمسلمين اليمانيين أن يتركوا لأصحاب تلك الجريمة البقاء في الحياة في أواسط الشعب اليماني المؤمن. ولا تزال الحكومة اليمانية تجري البحث والتحقيقات لمعرفة من الذين تورّطوا في تلك الجريمة النكراء والكبرى التي يندى لها الجبين اليماني الأبيّ العربيّ ويستنكرها المجتمع الإنساني بأسره.

وعلى كلّ حالٍ نفتي المسلمين اليمانيين حكومةً وشعباً بالحقّ من بعد التحقق من وراء تلك الجريمة النكراء بأنْ :

يقام عليهم حدّ الله بالصلب فتقطع رؤوسهم ويتمّ فصلها عن أجسادهم، فمن ثمّ يتمّ تعليق رؤوسهم في أحد الشوارع العامة للعِظة والعبرة، ويتمّ دفن أجسادهم مباشرةً من بعد فصل رؤوسهم عن أجسادهم وإنما يتمّ الصلب بقطع الرأس فمن ثمّ تعليقه في أحد الشوارع العامة للعظة والعبرة. وذلك التشهير نستنبطه لكم من محكم كتاب الله؛ قطع رأس القاتل ظلماً المفسد في الأرض وتعليق رأسه للإشهار بجريمته ودفن جسده. ونستنبط الحكم من البيان الحقّ لقول الله تعالى: {وَأَمَّا الْآخَرُ فَيُصْلَبُ فَتَأْكُلُ الطَّيْرُ مِن رَّأْسِهِ قُضِيَ الْأَمْرُ الَّذِي فِيهِ تَسْتَفْتِيَانِ (41)} صدق الله العظيم [يوسف].

فذلك هو حكم الله في القاتل عمداً وظلماً كمثل ذلك السجين الذي أراه الله أنّ فوق رأسه خبزاً تأكل الطير منه، فعلم نبيّ الله يوسف عليه الصلاة والسلام من خلال رؤيا الرجل أنّه قاتلٌ عمداً وأنّ حكم الله الحقّ سوف يصيبه كون التحقيقات كانت لا تزال مستمرةً من بعد حدث الجريمة، وتمّ سجن اثنين كانوا متّهمين بالقتل وثبتت براءة أحدهم وعاد لخدمة الملك من بعد حكم البراءة وأما الآخر فتبيّن للمحكمة أنه قاتلٌ عمداً وظلماً وتمّ تنفيذ حكم الله عليه بالصلب والتشهير، وعلم ذلك نبيّ الله يوسف من خلال رؤيا الرجل. ولذلك قال الله تعالى: {وَأَمَّا الْآخَرُ فَيُصْلَبُ فَتَأْكُلُ الطَّيْرُ مِن رَّأْسِهِ قُضِيَ الْأَمْرُ الَّذِي فِيهِ تَسْتَفْتِيَانِ (41)} صدق الله العظيم.

اللهم العن المجرمين لعناً كبيراً الذين يسفكون دماء الأبرياء وهم يعلمون أنّ من سوف يقتلونه كان بريئاً ولذلك لعن الله القاتل ظلماً، وسبب لعنهم كونهم يعلمون أنّ المقتول بريءٌ من قبل قتله فأولئك تجرأوا على غضب الله ولعنته. تصديقاً لقول الله تعالى:

{وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا} صدق الله العظيم.
{وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا} صدق الله العظيم.
{وَمَنْ يَقْتُلْ مُؤْمِنًا مُتَعَمِّدًا فَجَزَاؤُهُ جَهَنَّمُ خَالِدًا فِيهَا وَغَضِبَ اللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُ وَأَعَدَّ لَهُ عَذَابًا عَظِيمًا} صدق الله العظيم.
[النساء:93].

كمثل بعض القبائل اليمانيّة لا يتناهون عن منكرٍ فعلوه، فكيف أنّ بعضهم بسبب وجود الثأر القَبَلي يقتلون غير القاتل ويحسبون أنّهم مهتدون! فيا لها من جريمةٍ يهتزّ منها عرش الرحمن بسبب قتل نفسٍ بغير نفسٍ. ومن أفتاهم بقتل نفسٍ بغير نفسٍ ليطبّقوا مثل الشيطان الرجيم "إن لفيت الغريم وإلا ابن عمه"!
فأين علماء اليمن لا يصدرون فتوى مُعمَّدة إلى كافة القبائل اليمنيّة أنّ من قتل نفساً بغير نفسٍ فإنّ إثم ذلك عند الله كان عظيماً فكأنّما قتل الناس جميعاً من آدم إلى آخر مولودٍ من ذريته قبيل قيام الساعة، وكذلك من يقتل كافراً بحجّة كفره فإن عليه لعنة الله وملائكته والناس أجمعين كون من قتل نفساً بغير نفسٍ سواء كان المقتول البريء مسلماً أم كافراً فإثمُ ذلك عند الله كأنّما قتل ذرّية البشر أجمعين، وأولئك المجرمون من الذين يحاربون الله ورسله كونهم مفسدون في الأرض يسفكون دماء البشر بغير حقّ، وحكم الله في شأنهم بالحقّ كلٌّ منهم على قدر فعله. تصديقاً لقول الله تعالى: {أَنَّهُ مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا ۚ وَلَقَدْ جَاءَتْهُمْ رُسُلُنَا بِالْبَيِّنَاتِ ثُمَّ إِنَّ كَثِيرًا مِّنْهُم بَعْدَ ذَٰلِكَ فِي الْأَرْضِ لَمُسْرِفُونَ (32) إِنَّمَا جَزَاءُ الَّذِينَ يُحَارِبُونَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا أَن يُقَتَّلُوا أَوْ يُصَلَّبُوا أَوْ تُقَطَّعَ أَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُم مِّنْ خِلَافٍ أَوْ يُنفَوْا مِنَ الْأَرْضِ ۚ ذَٰلِكَ لَهُمْ خِزْيٌ فِي الدُّنْيَا ۖ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ (33)} صدق الله العظيم [المائدة].

ولا يتّهم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني أحداً بعينه حتى الآن ولا أعلم من وراء تلك الجريمة النكراء، ولكنّي حكمت على فعلتهم بحكم الله فيهم بالحقّ من غير ظلمٍ.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
___________

ملاحظة هامة إلى كافة الأنصار المبلغين للعالمين:
نأمركم بنشر هذا البيان على أوسع نطاقٍ بكل حيلةٍ ووسيلةٍ ما استطعتم. اللهم قد بلغت اللهم فاشهد.
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..